Top 10 'Husband Material' Names

Nahamishia upendo wangu wa agape kwako Heaven Sent, naona huyu atoto hachoki kutupanga mafungu. Naomba unipokee babe ake...
Aaah wewe unadhani nadanganyika sasa. Sitaki kuwa mchepuko wa mtu, siku ukiachana na yule mnyaki mwenzangu ndo unitafute. Kisa cha kuiba mume wa mtu hata kukuflaunt wasap na insta nishindwe looooooh
 
Last edited by a moderator:
Aaah wewe unadhani nadanganyika sasa. Sitaki kuwa mchepuko wa mtu, siku ukiachana na yule mnyaki mwenzangu ndo unitafute. Kisa cha kuiba mume wa mtu hata kukuflaunt wasap na insta nishindwe looooooh

Mara ya kwanza kidume nakataliwa live, khaaa. Unaanzaje kunikataa yani, I haven't given up just yet!
 
Mara ya kwanza kidume nakataliwa live, khaaa. Unaanzaje kunikataa yani, I haven't given up just yet!
Hahahahah kwa hiyo wewe huwa unaambiwa "YES" tu? Basi ngoja nizidishe maringo ya kinyaki
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…