Yap, ukimaliza una log out unahama nayo, hapo utakutana na bookmarks, history, extension na vingine vyote kama ilivyo kwenye pc yako nyumbani, hii ni moja ya feature inayonivutia kwenye chrome kwani hata nikifunga windows upya na-sign in tu kwenye chrome kila kitu kinarudi kama zamani hakuna ninachopoteza kwenye browser yangu hata baada ya kufunga upya windows.