Top 10 Google Chrome Extensions

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,267
33,039

1. Clickable Links

2. Downloads

3. Firebug Lite for Google Chrome

4. InvisibleHand

5. SessionManager

6. Smooth Scroll

7. StayFocusd

8. Turn Off the Lights

9. WOT

10. Xmarks Bookmarks and Password Sync

Last edited by a moderator:
Huwa nna-browse smart sana nikiwa kwenye PC yangu ila kwa mfano nikienda internet cafe afu nikafungua JF huwa mpaka nahisi labda nimeingia sehemu nyingine kabisa.

Ndiyo hivyo mkuu, lakini imagine kila mtumiaji wa jf angekuwa ana-browse kwa style hii ya kwetu ingekuwaje? ila unajuwa unaweza ukatembea na browser yako katika pc yeyote?
 
Google Chrome

Unamaana gani? yani niingie kwenye PC nyingine halafu ni sign-in ili settings zangu ziwe sync?

Yap, ukimaliza una log out unahama nayo, hapo utakutana na bookmarks, history, extension na vingine vyote kama ilivyo kwenye pc yako nyumbani, hii ni moja ya feature inayonivutia kwenye chrome kwani hata nikifunga windows upya na-sign in tu kwenye chrome kila kitu kinarudi kama zamani hakuna ninachopoteza kwenye browser yangu hata baada ya kufunga upya windows.
 
Yeah hii ni nzuri lakini sio salama kwenye public computers. kwa mfano upo cafe una-sync settings zako unaendelea kufanya kazi halafu umeme unakatika watu watafaidi sana vitu zako!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom