South Africa hana mshindani hata baadhi ya Nchi za Ulaya hazijafikia kiwango chao ndio ufananishe na Nchi ambazo yeye ndio anazijengea bara bara...Swaziland, Namibia na Botswana wote wanajengewa na kampuni za kaburu kuanzia ushauri hadi ujenzi...N1,N2,N3...Durban road hizo kwa sehemu kubwa ni lane 4 kwenda na kurudi zinapokua nje ya mji ndio inakuja kupishana kama kawaida...kwenda kumpokea mgeni Oliver Tambo ni kazi kuliko maelezo kupotea ni kawaida kutokana na jinsi zilizovypunganishwa sehemu ya wageni wanaofika,wanaoondoka na hiyo hiyo inaelekea Borgsbug na hapo ipo lane Ndogo ndio inaelekea Kempton park aisee harafu unafanisha na vitu vya kijinga...
SA bara bara imebinafsishwa wameweka toll gate za kumwaga ili wakusanye mapato kwa ajili ya kukarabati kila wanapoona inatakiwa itengenezwe..kila muda bara bara zinafanyiwa matengezo kwa baadhi ya Nchi ni nzima kabisa...