Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,804
- 95,630
Tumeumbwa hivyo, mtuvumilieMnatutesa sana jamani?[emoji21]
Tumeumbwa hivyo, mtuvumilieMnatutesa sana jamani?[emoji21]
Kweli kabisaaa hampendi! Anajua vizinga vitamkimbiza tuuZingatia hapa. Hupendwi hata kidogo mkui.
Mkuu kama anakupa papuchi tatizo nini ..na sema "mpe helaa"
mbaya sana hao 444 kjKuna nyimbo ya Songa inaitwa "kikosi cha mizinga" kuna dem humo anapiga mizinga hadi hatari.
Au ule wa comedian Mtanga, "Kademu ka mizinga"[emoji23][emoji23]Kuna nyimbo ya Songa inaitwa "kikosi cha mizinga" kuna dem humo anapiga mizinga hadi hatari.