Too Much Vizinga,hadi hamu ya kumpigiaga simu inaniisha

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,730
Nimekua na huyu binti tangu mwezi March mwanzoni mwaka huu 2019

Sio mgumu kunipa papuchi na wakati mwingine yeye mwenyewe ndo huwa ananishtua "baby mi nna nyege nakuja unitie"

Kiumri ana miaka 20 ila ana mtoto mmoja,mwanzoni naanza nae mahusiano aliniambia yeye sio kama wasichana wengine wanaopenda penda kuomba omba hela nikamwambia basi vizuri

Kikukweli Mimi nilikua nampa hela pasipo kuniomba,ila baada ya kupita pasaka akaanza vizinga daily

Kwanza alitaka niende nae club siku ya pasaka nikamwambia Mimi sio mtu wa club ,wee nenda tu na wenzako

Baada ya muda binti amekua mpiga vizinga hadi kero

Yani hata ile mood ya kumwita nimpige mkuyati inaisha siku hadi siku

Kila nikimtafuta lazima mwisho apige kizinga hadi imekua kero

Sometimes hanitafuti kwenye simu mi nikimtafuta lazima ataingizia kizinga,sio kwamba nashindwa kumpa ila ile tabia yake kwamba kila tukiwasiliana anachomea suala LA hela inanitibua sana

Na sijampenda kivile,namtafutia timing nimpige chini

Wadada jitahidi kuwa wastaarabu. Wanaume tunajua majukumu yetu kwa wapenzi wetu ila hii tabia ya kwamba kila ukipigiwa simu au kutumiwa msg unaanza vizinga mnaboa mnoo.

Azoge[emoji2398]
 
Sijawahi kuona mwanaume Tajiri analalamika kuhusu vizinga!bro Fanya haraka utoke kwenye wimbi la umasikini
 
Wengine kama wamelogwa vile daaa!!
Mizinga mizinga mizinga mpaka kero,ukimpa hiki leo kesho anataka kingine
 
kuna mdau hapo juu kashauri fanyeni kazi muondokane na Lindi la umaskini! hajawahi kumuona mwanaume tajiri akilalamika vizinga.
 
Ukiachilia mbali mambo ya tafsida, yote uliyoyasema yamenigusa sana nimeshaacha wadada wengi wenye tabia hiyo, khaàaa
 
Back
Top Bottom