Kwanza wengi wazuri wazuri wana maringo sana, pili hao ukiwaoa kwa kiasi kikubwa ni stress maana bado vijana watakuwa wanacompete kumpata hata kama tayari ni mke wa mtu (hapa labda upate alotulia sio wale wengine).
Kwa hiyo hawa wanakuwa wa kuuza nao sura tu alafu unatafuta mdada mwenye sura ya kawaida ndo mke
Huyu mama mbona wa kawaida lakini, hamsogelei hata kwa mbali jolly_bebee wangu! Nahisi anatafta kiki na usingo maza wake nani aweke tanga hapo? Uyo alioondoka mwanzo alikimbia nn? Naskia harufu ya ex wa Jongwe syndromeView attachment 508029
Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend.
Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa kawaida ndio wanaopata wanaume na kutulia nao lakini yeye mwenye mvuto zaidi hapati wanaume na akiwapata hawatulii nae.
Amesema angefurahia kupata mwanaume atakaye mpenda ki kweli na sio kwa Uzuri wake tu.
Amesema pia kuwa mara nyingi akipata mwanaume na kufanikiwa kwenda nae kwenye appointment (date) wanaume huishia kumsifia Uzuri wake na hawamsikilizi anachotaka kusema au kuongelea mambo ya maana. Boyfriend wake wa mwisho aliishia kumuonyesha tu kwa rafiki zake na kutaka kupiga nae picha tu.
https://www.google.com/amp/www.indy100.com/article/woman-too-good-looking-boyfriend-relationship-manchester-cherelle-neille-7729531?amp
Hivi ni kweli wadada wenye mvuto wa pekee ni vigumu kupata wanaume?!
Mwanamke mzuri ni cha wote kwa sababu huwa hawezi kuizuia nguvu ya kutongozwa na kila mtu!........Atatongozwa na watu wenye sifa mbalimbali na wenye ushawishi mbalimbali!Inawezekana bwana, ni nyie tu wakaka naona huwa mnaogopa wanawake wenye vyote, sijui kwa sababu zipi.
Weka picha yako hapa nikutathminDuh!, Aisee. Heri yangu.🙂
Mwanamke akiwa mzuri sana ni stress kwa kidume na hasa akiwa anapenda kuzoeana na watu bila mpangilio na mwenye mkia mnene ni hatari sana kwa ustawi wa uhusiano!
Hapo utawaza kupigiwa tu kila saa mwishowe unapigiwa kweli maana mawivu yatazidi ukomo na demu ataanza kukuona fala.
Huyu mama mbona wa kawaida lakini, hamsogelei hata kwa mbali jolly_bebee wangu! Nahisi anatafta kiki na usingo maza wake nani aweke tanga hapo? Uyo alioondoka mwanzo alikimbia nn? Naskia harufu ya ex wa Jongwe syndrome
Lazma achapwe nao tu mwisho wa siku, ndio inavyokuwaga yani! Ukute pia huna hela unatumia nguvu ya mdomo tu. Bebi nyingi, i love u kedekede akikutwa na playboy mhongaji mzuri pembeni ki brevis, ampige outing za kuuza sura town andika maumivu!Mwanamke mzuri ni cha wote kwa sababu huwa hawezi kuizuia nguvu ya kutongozwa na kila mtu!........Atatongozwa na watu wenye sifa mbalimbali na wenye ushawishi mbalimbali!
Mwenye vyote awe disminder wa attention za kitoto labda itakuwa mzuka. Sasa we demu mzuri af beki hazikabi patakalika hapo? Kila anaeomba namba unampa ikiwa unajua atakutongoza tu na upo kwa uhusiano na mtu tayari kama si kujenga mtafaruku ni nini?Inawezekana bwana, ni nyie tu wakaka naona huwa mnaogopa wanawake wenye vyote, sijui kwa sababu zipi.
View attachment 508029