Tony Blair akaangwa kwa kuingia vitani Iraq katika misingi ya uongo!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,853
13,137
Hatimaye Tume ya Uchunguzi chini ya Sir John Chilcot, imemtia hatiani Tony Blair kwa kuliiingiza vitani taifa la Uingereza kwa misingi hafifu na ya uongo.

Chilcot Report imesema
1 Hakukuwa na Weapons of Mass Destruction, au silaha za maangamizii

2 UN , Umoja wa Mataifa haikukubaliana au kutoa kibali kuivamia Iraq

3 Iraq wakati huo haikuwa tishio kwa nchi za magharibi

4 Majeshi na vyombo vyabusalama vya UK havikuwa na matayarisho ya kuyosha kuingia vitani

5 Vita hiyobimesababisha vifo vya wanajeshi na raia karibia 400 wa Uingereza, raia 150,000(ni zaidi) wa Iraq wameuwawa na wengine milioni moja wamepoteza makazi.

Mbaya zaidi ripoti yenyewe imesema malengo ya vita hiyo hayakufikiwa na huko Mashariki ya kati pamekuwa mahali hatari zaidi binadamu kuishi.

Huko Uingereza wananchi waliofiwa huko Iraq wanataka Tony Blair ashitakiwe su apelekwe ICC.

My Take
Funzo kubwa sana la kujifunza katika maamuzi ya kiserikali, maamuzi yanayoweza kusahihishwa tu kwa kuweka mambo wazi.
Pili, imeonekana wazi jjjinsi ubeberubunavyoweza kuyumika vibaya kuzima nchi zinazojenga uwezo wa kuujiamini na kukua kijjeshi.
Ni vema Tanzania tulijue somohili.
 
Good. Is this related with brexit au walianza mchakato kabla ya brexit
 
Ripoti ya Chilcot ilianza kutayarishwa 2009 na imechukua miaka 7.

Hata hivyo hata kabla ya Uingereza kuingia Iraq , Waingereza wengi walipinga vita hivyo kwa kusema Blair si mkweli katika sababu za kushabikia vita.
 
Naam...vipi mpambe wake USA ? Na yeye si alienda bila kuruhusiwa na UN? hao wote wachukuliwe hatua...ingawa sina uhakika kama inawezekana.
 
Rais Bush kwa ripoti hii ya Sir John Chilcot ameadhiriwa sawasawa Blair.

Imedhihirika kuwa hakukuwepo taarifa yoyote ya kijasusi kudhihirisha kuwepo kwa silaha za maangamizi(WMD).

Ikumbukwe kuwa Colin Powel aliyekuwa anashughulikia masuala ya vita ya Iraq kama Secretary of State, aliamua kujiuzulu, baada ya kubaini uongo alioutetea hata huko UN.
 
Report hizi hutumiwa na Magaidi kama supporting documents za kuhalalisha kisasi japo si sahihi.
Mkuu fuatilia maneno ya Sir John Chilcot.

Ugaidi unaoonekana sasa NI MATOKEO ya vita hiyo ya Iraq na siyo the other way round.

Sir Chilcot katika ripoti yake amesema ugaidi umeimarika zaidi baada ya mhimili wa Saddam kuangushwa na majeshi ya Marekani na Uingereza.
 
Hatimaye Tume ya Uchunguzi chini ya Sir John Chilcot, imemtia hatiani Tony Blair kwa kuliiingiza vitani taifa la Uingereza kwa misingi hafifu na ya uongo.

Chilcot Report imesema
1 Hakukuwa na Weapons of Mass Destruction, au silaha za maangamizii

2 UN , Umoja wa Mataifa haikukubaliana au kutoa kibali kuivamia Iraq

3 Iraq wakati huo haikuwa tishio kwa nchi za magharibi

4 Majeshi na vyombo vyabusalama vya UK havikuwa na matayarisho ya kuyosha kuingia vitani

5 Vita hiyobimesababisha vifo vya wanajeshi na raia karibia 400 wa Uingereza, raia 150,000(ni zaidi) wa Iraq wameuwawa na wengine milioni moja wamepoteza makazi.

Mbaya zaidi ripoti yenyewe imesema malengo ya vita hiyo hayakufikiwa na huko Mashariki ya kati pamekuwa mahali hatari zaidi binadamu kuishi.

Huko Uingereza wananchi waliofiwa huko Iraq wanataka Tony Blair ashitakiwe su apelekwe ICC.

My Take
Funzo kubwa sana la kujifunza katika maamuzi ya kiserikali, maamuzi yanayoweza kusahihishwa tu kwa kuweka mambo wazi.
Pili, imeonekana wazi jjjinsi ubeberubunavyoweza kuyumika vibaya kuzima nchi zinazojenga uwezo wa kuujiamini na kukua kijjeshi.
Ni vema Tanzania tulijue somohili.

Kila maamuzi yanafanywa na serikali ni kwamba walikuwa wanajua wazi wanachoenda kufanya. Wewe hujui behind the scene ya ile vita.

Hawawezi kuchoma matrilioni kwenda kwenye mission ambayo haina faida kwao. Kwanin wasiende Korea Kaskazini ambapo kila siku wanarusha makombora?

Maslahi tu hapo yanaangaliwa, Marekani sio wazalendo kiasi hiko hadi waende kumtoa Saddam.
 
Mkuu fuatilia maneno ya Sir John Chilcot.

Ugaidi unaoonekana sasa NI MATOKEO ya vita hiyo ya Iraq na siyo the other way round.

Sir Chilcot katika ripoti yake amesema ugaidi umeimarika zaidi baada ya mhimili wa Saddam kuangushwa na majeshi ya Marekani na Uingereza.
Huo ni ukweli usiopingika kung`oka kwa Saddam iraq haijawa stable na Gadaf libya haijawa stable
 
Mkuu fuatilia maneno ya Sir John Chilcot.

Ugaidi unaoonekana sasa NI MATOKEO ya vita hiyo ya Iraq na siyo the other way round.

Sir Chilcot katika ripoti yake amesema ugaidi umeimarika zaidi baada ya mhimili wa Saddam kuangushwa na majeshi ya Marekani na Uingereza.
Sawa kabisa! hata Donald Trump alizungumzia swala la Saddam na Gadafi.
 
Kila maamuzi yanafanywa na serikali ni kwamba walikuwa wanajua wazi wanachoenda kufanya. Wewe hujui behind the scene ya ile vita.

Hawawezi kuchoma matrilioni kwenda kwenye mission ambayo haina faida kwao. Kwanin wasiende Korea Kaskazini ambapo kila siku wanarusha makombora?

Maslahi tu hapo yanaangaliwa, Marekani sio wazalendo kiasi hiko hadi waende kumtoa Saddam.
Ni wazi kuwa si Marekani wala Uingereza walijua wanaenda Iraq kufanya nini.
Ripoti hii ya Sir Chilcot imesemema mataifa hayo mawili hawakuzingatia ushauri hata wa vyombo vyao vya kijasusi kuwa Saddam alikuwa hana silaha walizodai anazo.

Njia ya mwongo fupi, sababu walizotoa kuishambulia Iraq na kumuua Saddam hazijaonekana kuthibitishwa hadi leo.

Mambo yalipowafika shingoni, haraka haraka Marekani na Uingereza walikimbiza mabawa yao Iraq.
 
Ndugu yangu huwezi kuchoma mabilioni ya dola bila kujua unaenda wapi, kufanya nini.

Huwezi kuambiwa ukweli ila ni kwamba walifuata mafuta iraq.

Kabla ya vita makampuni ya nje ya iraq hayajawahi kupewa tenda ya kuchimba mafuta. Ila baada ya vita makampuni ya nje yalipewa hiyo tenda. Hata shirika la mafuta la iraq halikuweza kufanya kile walichokuwa wanafanya mwanzo.
 
Robin Cook(rip) alijiudhuru sababu hakukubaliana na boss wake Blair katika kuivamia Iraq,yaani sasa ninavyowaona wale wakimbizi kule Calais wanaotaka kwenda UK,Uk haitaki hata kuwasikia wakati yenyewe ndo imesababisha Iraq kuwa ilivyo leo,Zamani wairaq hata hawakutamani kuondoka nchini mwao,ila baada ya Saddam Iraq imekuwa uwanja wa mauwaji
 
Ndugu yangu huwezi kuchoma mabilioni ya dola bila kujua unaenda wapi, kufanya nini.

Huwezi kuambiwa ukweli ila ni kwamba walifuata mafuta iraq.

Kabla ya vita makampuni ya nje ya iraq hayajawahi kupewa tenda ya kuchimba mafuta. Ila baada ya vita makampuni ya nje yalipewa hiyo tenda. Hata shirika la mafuta la iraq halikuweza kufanya kile walichokuwa wanafanya mwanzo.
Mkuu nimekuwekea excerpts kutoka kwenye ripoti iliyotyarishwa na Sir John Chilcot juu ya vita hiyo ya Iraq.
Hilo la mafuta ni la kufikirika tu, hakuna mzungu anayetamani kwenda hata kutembelea Iraq kwa sasa hivi, unless mabomu ya kujilipua mhanga yameisha kwa waarabu!

"We have concluded that the UK chose to join the invasion of Iraq before the peaceful options for disarmament had been exhausted. Military action at that time was not a last resort.

We have also concluded that:

:: The judgements about the severity of the threat posed by Iraq's weapons of mass destruction - WMD - were presented with a certainty that was not justified.

:: Despite explicit warnings, the consequences of the invasion were underestimated. The planning and preparations for Iraq after Saddam Hussein were wholly inadequate.

:: The Government failed to achieve its stated objectives."

The Chilcot Report
 
Shikamoo mzee Chilcot!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom