warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Staa mwenye mvuto wa aina yake kutoka nigeria,Tontoh dikeh,hivi karibuni baada ya kuachana na mume wake waliyebahatika kupata mtoto mmoja,ameibuka na kudai kuwa mwanaume huyo hafai kwani alikua anajitibu magonjwa ya zinaa mara kwa mara kutoka kwa mumewe,Akijibu comments za baadhi ya mashabiki zake walioonyeshwa kutokufurahia ndoa hiyo kuaribika,tontoh aliendelea kutiririka kuwa mara nyingi amekua akijinadi kuwa mume wake huyo alikuwa akimnunulia zawadi expensive kama magari ya kifahari,i phone 7 lakini haikua kweli Bali alikua anamlindia heshima kama mume ili na yeye ajione wa thamani, matokeo yake ameambulia maumivu makali.