Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,079
- 3,610
Wadau habarini za majukumu? Dogo kaenda hospital kung'oa jina kaambiwa pia ana tonsil stones Sasa huu ugonjwa unasababishwa na Nini na dawa yake Ni ipi? Karibuni kwa michango
Huna hoja tuliza ngebe watu wanna shida unaleta Domo bwaku bwaku bwabwaja