Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Nov 15, 2014 #1 Heshima kwenu wakuu.. kwa kweli huyu dada amejaliwa sauti ya utangazaji na anasoma kwa ufasaha taarifa zake,Mi niko mwanza ila huwaga siachi kumsikiliza hata sasa yupo studio kama unajua sauti nzuri we msikilize....
Heshima kwenu wakuu.. kwa kweli huyu dada amejaliwa sauti ya utangazaji na anasoma kwa ufasaha taarifa zake,Mi niko mwanza ila huwaga siachi kumsikiliza hata sasa yupo studio kama unajua sauti nzuri we msikilize....
Magu Senior Member Joined Jun 13, 2011 Posts 156 Reaction score 56 Nov 15, 2014 #2 Si wote tunaangalia TV unayoangalia, sema dada yupi na TV station gani
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Nov 15, 2014 Thread starter #3 Magu said: Si wote tunaangalia TV unayoangalia, sema dada yupi na TV station gani Click to expand... ni mtangazaji wa radio station sema tu kipindi kimeisha ameweka wimbo wa jack pemba.hapa mwanza ni 92.5
Magu said: Si wote tunaangalia TV unayoangalia, sema dada yupi na TV station gani Click to expand... ni mtangazaji wa radio station sema tu kipindi kimeisha ameweka wimbo wa jack pemba.hapa mwanza ni 92.5
tecno tecno Member Joined Dec 26, 2013 Posts 29 Reaction score 2 Nov 15, 2014 #4 Huwa yuko vizuri sana ni mtangazaji wa radio 5 arusha