Tonica isoyi wa radio "5" arusha

Tonica isoyi wa radio "5" arusha

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Heshima kwenu wakuu..
kwa kweli huyu dada amejaliwa sauti ya utangazaji na anasoma kwa ufasaha taarifa zake,Mi niko mwanza ila huwaga siachi kumsikiliza hata sasa yupo studio kama unajua sauti nzuri we msikilize....
 
Si wote tunaangalia TV unayoangalia, sema dada yupi na TV station gani
 
Si wote tunaangalia TV unayoangalia, sema dada yupi na TV station gani

ni mtangazaji wa radio station sema tu kipindi kimeisha ameweka wimbo wa jack pemba.hapa mwanza ni 92.5
 
Back
Top Bottom