tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Halafu alikua anawatafunia mama zao na madem zao kibabeNakumbuka jamaa alikua akipita mtaani kwenye movie ya Friday, majanki wote wanatoka baruti!! unasikia kibaskeli chake kinavyosogea vijana wanapiga kelelee, "Diiiiibooo" wote mbio ndani, R.I.P Dibo


