Tom & Jerry

kila nikipata wakati huwa naangalia hii kitu
 
Hata mimi hakuna katuni naikubali kama hii. Ukiitafakari kwa makini kuna mafundisho mengi tu
 
I always admire Mr tomcat genius with failure plans!!!
 
mtoto wangu wa umri wa miaka 4 akiwa anaangalia ,usipomdhibiti hata chakula hali yeye na hizi cartoons, nashukuru mungu ndiyo silaha kwangu kwa mtoto kuzurura
 
Leo na watoto tunaangalia the movie Tom and Jerry's Giant Adventure - Bradley's Story book town. Am sure tutajienjoy.
 
salama kabisa mkuu utafiti na weekend iko poa sana aise hakuna mbaya
vipi kwako huko aise
mambo yanaendaje

Mkuu sisi tumetembelewa na mvua kidogo sasa sijui kama weekend hii ni kulala tu....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sisi tumetembelewa na mvua kidogo sasa sijui kama weekend hii ni kulala tu....


Mkuu utafiti bora hata ingenyesha huku kwetu Hungumal;wa tukalima bana sasa huko mjini na maghorofa yenu hayo na mabugando mengi hivyo mnaifanyia nini mkuuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utafiti bora hata ingenyesha huku kwetu Hungumal;wa tukalima bana sasa huko mjini na maghorofa yenu hayo na mabugando mengi hivyo mnaifanyia nini mkuuu

Hahaha mkuu sisi tumeitengenezea mitaro mizuuuri ikianguka iende baharini...
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mkuu sisi tumeitengenezea mitaro mizuuuri ikianguka iende baharini...


Mkuu sisi tunaihitaji sana kwa ajili ya kilimo cha mpunga bana sasa nyie mnatupa maji baharini tena mkuu huoni hasara hiyo aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…