kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha magazeti asubuhi kupitia RFA, siku akiyasoma huyu jamaa utagundua kuwa kuna habari hasomi kwenye magazeti mengine tena ukurasa wa mbele, atakusomea habari kwa kina na pia maoni kutoka Uhuru, Habari leo, Jambo leo na Dira ya mtanzania.
Mbona wale wadada uwa wanasoma bila upendeleo? au ndo jamaa unausaka ukuu wa wilaya? Acha hizo Tom soma habari pia kutoka magazeti kama Mwananchi, Tanzania Daima, Mtanzania, Jamhuri n.k kwa sababu hizo habari hujaandika wewe na huwezi kuukosa u-DC kwa kusoma habari, vinginevo hauko huru na ni kama vile unafanya kazi kwa maelekezo.