Tollofy ni accounting package inayo msaidia mfanyabiashara kuendesha biashara yake kwa njia rahisi zaidi.
Kwa kutunza kumbukumbu za biashara ikiwemo mauzo, matumizi, manunuzi, stock na mengine mengi.
Inamrahisishia kufanya mahesabu kwa kumtumia report ya kila siku, wiki na hata mwezi ikiwa tayari imebangiliwa.
Best features
- simplicity and portability- unahitaji account moja kuendesha biashara zako zaidi y moja
Kutoka katika app yako
- security- backup inafanyika automatically, huhitaji ku login kila mara na data zinakuwa secured
- barcode n Qr code- unaweza kuuza kwa barcode
- notifications and reports- hukutumia mchanganuo wa mauzo kwa email
- employees mangnt- unaweza kutrack activities zote wanazofanya wafanyakaz Wako
Kwa mawasiliano zaidi
Account ya instagram, Facebook na Twitter: #tollofy
Website:
www.tollofy.com