web developer
New Member
- Feb 21, 2017
- 3
- 1
JANGA LA HESABU MASHULENI
Somo la hesabu ni somo lenye uwezo wa kuufanya ubongo wa binadamu kuwa na uwezo wa kufikiria na kuja na jibu sahihi pale penye tatizo na hii ndio faida kuu ya somo hili ndiomaana wanafunzi pia wanafeli masomo mengine kwa sababu wanakosa fikra za kimahesabu wanaposoma, ni ukweli usiopingika kwamba mwanafunzi akilichukia somo la hesabu basi nafasi yake ya kufaulu ni ndogo sana na zaidi huwa ni kufeli tu.
MATHE TOGETHER ni chombo chenye kazi ya kufuta F ya hesabu mashuleni ikiwa imeanza kazi shule ya sekondari Mbekenyera iliyopo Ruangwa tangu mwezi wa tano kama majaribio na ikifanikiwa zumuni ni kuieneza katika umoja wa walimu wa somo la hesabu ili kufuta F Tanzania nzima kwa somo la hesabu haswa kwa ngazi ya O-level.
Mikakati ya MATHE TOGETHER
MATHE CHAMPION LEAGUE
kuanzisha shindano la kutafuta kikundi bora cha wanafunzi chenye uwezo wa kufanya vizuri katika somo la hesabu ili kusaidia wanafunzi wengi kuanza kuipenda hesabu na kuwa na kila sababu ya kurudisha nyoyo za wanafunzi zitawaliwe na mapenzi ya kuisoma hesabu.
ili shindano linoge yafuatayo yanafanyika kabla ya siku ya shindano:-
MATHE QUIZZES angalau mawili ya papo kwa papo kwa mwanafunzi kwa wiki.
MATHE TESTS angalau moja kwa mwezi.
MATHE HELP angalau mara moja kwa week wanafunzi watajadiriana matatizo na changamoto za hesabu na kuzitatua.
MATHE SPEECH angalau kwa wiki mbili mara moja morning speech itamlazimu mwanafunzi anaetoa speech aongelee chochote juu ya somo la hesabu.
MATHE OUT angalau test moja katika miezi miwili itakuwa ni ya kushirikisha shule nyingine pia.
MATHE GAMES angalau siku moja kwa mwezi michezo ya kihesabu itafanyika kuwavutia wanafunzi zaidi kuipenda hesabu.
yote hayo ni kumfanya mwanafunzi aipende hesabu na aitilie mkazo zaidi.
SAMBAMBA na hilo mikakati hii imetumwa katika shindano la kimataifa la UNESCO, HIVYO basi msomaji wa mkakati huu unaombwa kwenda kuuPIGIA KURA ili uibuke kidedea na bendera ya Tanzania iweze kupeperuka.
hatua za upigaji KURA ...
1. Ingia katika link hiyo chini
2. link ikifunguka bofya neno VOTE NOW
3. Jaza email yako kisha bofya kwenye kibox kidogo kilichopo chini yake.
4. hapo bofya neno VERIFY YOUR EMAIL TO VOTE!
5. NENDA KATIKA EMAIL YAKO
6. FUNGUA email yako utakutana na ujumbe kutoka enterpreneurship campus (unesco) na ufungue nendaa kabofye link utakayopewa
7. bofya tena VOTE NOW (shuka chini utakutana na hilo neno kwa rangi ya blue)
utapongezwa na ujumbe wa rangi ya kijani
JINA LA MKAKATI
MATHE TOGETHER
MATHE TOGETHER KWA MAFANIKIO YETU WOTE
TANZANIA YA VIWANDA NA UCHUMI WA KATI HAIWEZEKANI BILA HESABU