Hao ukiwapa ubwabwa au pilau ya nyama ya mbuzi na maji bariidi kwisha kazi kwishaaaaa wanafanya tu kuchaguana wewe si ushanawa haya nenda kawajibu Tec 🤣
Wanataka Ubwabwa na Pilau.. wakimaliza kushiba watasimama kusema hii ndio Dini ya Haki.. hutokuta wakisema hii ndio Dini ya Amani.. wimbo wa amani na haki unaimbwa na Catholics only for decades hata yule anaeuliza watu WHO ARE YOU? hua anai-quote Biblia mara nyingi sana huwezi kumkuta kai-quote Msaafu.. why?