misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
- Thread starter
- #61
Hiyo bikra kweli unayo au ndo kuuza sura tu jukwaani hapa?
Una uhakika ipo na nani alikupima na akaiona?
ni maana ya bikira? unajua lakini? bikira ni mke/mume ambaye hajawahi kukutana kimapenzi na mtu wa jinsia nyingine. kukutana kwa njia ya uke kuunganishwa na ume. ila kwa dunia ya leo tunaweza sema maana nyingi mana kunamaambo ya kila aina yanafanyika. MY POINT is im still a virgin kwa maana inayotambulika.