Toka mtandaoni: Wapungie mkono!

Mtani wangu ukiachana na mambo ya tunguli, wewe ni mwalimu mzuri sana wa neno la Mungu.
Leo nimesali na kuhudumu kanisani mwetu...nimejihisi kubarikiwa mno[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ni ushauri na ujumbe murua sana, kongole aithee, bali ni jambo zito na gumu mno ila tu kwa wale waliojaaliwa, tumuombe sana muumba atujaalie hali hii.
 
Hakika wewe ni genius kama Lissu
 
Hiki kitu unakisema nikweli kabisa wapo watu wanapenda maumivu Yao yawe maumivu ya wengine tena zaidi. Ktk kitabu Fulani niliwahi soma mwandishi alisema Aina ya watu kama hao sio kuwaepuka Tu Ila pia ziba masikio yako usiwape ruhusa kuwasikiliza
 
Mkuu sina uzoegu mkubwa hapa jf ila kuna makala uliandika kama sikosei ni kuusu mwanamke alie na kinyama kati ya uke na sehem yake ya aja kubwa ukatoa ufafanuzi je naweza kuyapata tena nikayasoma? Samahn mkuu
 
Karibu! Hii hapa

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…