Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,071
- 831,688
Wataalamu wa matibabu wanaonya kuwa kutibu madhara ya sumu hii huhitaji teknolojia ambayo ni ghali mno na kuwa sio nchi nyingi zinauwezo wa kuyatibu.
Kwa hiyo ukipata sumu hii ameugua, itabidi tu ajitayarishe kupoteza maisha.
Dkt Gakunju anaongeza kuwa jani moja la mmea wa tumbaku hapa nchini limefanyiwa utafiti na kubainika kuwa huwa lina sumu hii kwa kiwangocha asilimia 15.
Jiulize ukitumia ugoro au sigara unakuwa umetumia majani mangapi?TULINDE AFYA ZETU DHIDI YA SUMU HII. ACHANA SIGARA NA UGORO.
*MADHARA UGORO*
magonjwa ya moyo
kansa ya koo
kansa ya Mapafu
kifua kikuu
matatizo ya meno
kuharibu mifupa
kupunguza uwezo wa kufikiria
hupunguza ufanisi wa ufanyaj kazi wa ubongo



