TOKA MBEYA mpaka ARUSHA(HONGERA BWANA JUMA IDD)

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
631
Reaction score
122
BWANA JUMA IDD,aliyepata kuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la mbeya amechukua nafasi ya BI.SIPORA LIANA aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la arusha ambaye sasa hivi amehamishiwa OWM-TAMISEMI.

BI SIPORA ametolewa arusha kutokana na majungu ya mkuu wa mkoa BWANA MUGESA MULONGO pamoja na zengwe la madiwani wachache wasiopenda uwajibikaji wakiongozwa na meya wa halmashauri ya jiji.

Naomba niwahakikishie viongozi hao mafisadi na wenye kujali maslahi yao kuwa bwana IDD ni mtendaji mzuri sana na mambo hayatakuwa rahisi kama wanauyodhani.
huyu bwana alipigwa sana majungu pale mbeya chini ya shinikizo la meya wa jiji bwana ATHANAS KAPUNGA(diwani kata ya isanga C.C.M) lakini hakuweza kutii kile walichokitaka na hatimaye kupika majungu na kupelekea uhamisho wake kwenda OWM-TAMISEMI.

bwana IDD alijitahidi kufanya kazi zake kwa kuzingatia miongozo akishirikiana na viongozi wapenda maendeleo na hatimaye kuifanya
mbeya angalau ipate mwonekano ilionao sasa.

NENDA KAFANYE KAZI IDD.
 
ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano
 
Mkuu punguza chuki!Yaani una chuki na watu kiasi kwamba COMMENT yako haiendani kabisa na MANTIKI ya THREAD husika hapo juu.Rudia tena kuisoma THREAD hapo juu kisha angalia ulichoki-comment kama vinaendana.
 
ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano

Na Hii Ndio Akili ???

531844_655133724526742_139435833_n.jpg
 
ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano

jaribu kuwa mstaarabu wewe, wapuuzi wenzio wachache watakusifu, ila kumbuka unadharaulika sana na mamilioni ya wanzania wenye uelewa, siasa haiendeshwi hivyo ndugu, muwe mnaomba ushauri wakati mwingine kabla ya kutenda, msijitoe ufahamu, taifa linawategemea.
 
Kupitia taarifa za hapa na pale, nadhani ni kweli huyu Bwana Iddy ni mtendaji mzuri lakini hata hivyo, haitakuwa na maana yoyote kwake kupelekwa Arusha bila kufanya mabadiliko mengine ya uongozi hapo mkoani. The so called Magessa Mulongo nae anapaswa kutolewa pale na kupelekwa mtu mwingine mwenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za Arusha bila kusahau kwamba siasa za kijinga za CCM na CHADEMA bado ndio tatizo la msingi la Arusha.
 
ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano

ukiwa ccm akili huwa inaruka,tatizo la kutoka kwenye ubanda wa mataputapu na kuvamia keyboard mwehu we.
 
ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano

CHADEMA hovy sana, hasa huyu mwanachadema mwenzao aitwae Mugesa Mulongo, huyu ndiyo sifuri na ndiyo amesababisha Sipora kuondolewa.
 
Kupitia taarifa za hapa na pale, nadhani ni kweli huyu Bwana Iddy ni mtendaji mzuri lakini hata hivyo, haitakuwa na maana yoyote kwake kupelekwa Arusha bila kufanya mabadiliko mengine ya uongozi hapo mkoani. The so called Magessa Mulongo nae anapaswa kutolewa pale na kupelekwa mtu mwingine mwenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za Arusha bila kusahau kwamba siasa za kijinga za CCM na CHADEMA bado ndio tatizo la msingi la Arusha.
jk anatanguliza uswahiba na chama mbele ya maendeleo,namjua mulongo tokea akiwa dc bagamoyo,ni mzinzi na mpenda rushwa hatari.
 
BWANA JUMA IDD,aliyepata kuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la mbeya amechukua nafasi ya BI.SIPORA LIANA aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la arusha ambaye sasa hivi amehamishiwa OWM-TAMISEMI.

BI SIPORA ametolewa arusha kutokana na majungu ya mkuu wa mkoa BWANA MUGESA MULONGO pamoja na zengwe la madiwani wachache wasiopenda uwajibikaji wakiongozwa na meya wa halmashauri ya jiji.

Naomba niwahakikishie viongozi hao mafisadi na wenye kujali maslahi yao kuwa bwana IDD ni mtendaji mzuri sana na mambo hayatakuwa rahisi kama wanauyodhani.
huyu bwana alipigwa sana majungu pale mbeya chini ya shinikizo la meya wa jiji bwana ATHANAS KAPUNGA(diwani kata ya isanga C.C.M) lakini hakuweza kutii kile walichokitaka na hatimaye kupika majungu na kupelekea uhamisho wake kwenda OWM-TAMISEMI.

bwana IDD alijitahidi kufanya kazi zake kwa kuzingatia miongozo akishirikiana na viongozi wapenda maendeleo na hatimaye kuifanya
mbeya angalau ipate mwonekano ilionao sasa.

NENDA KAFANYE KAZI IDD.

Hapo kwenye red Siyo kweli kwani kapunga anatoka kata ya Itiji tafadhali, na pia IDD hafanani na sifa unazidai anazo kimsingi mamlaka za uteuzi zinakurupuka
 
Kwa tunaomjua Bw. Juma R. Iddi, tunawaonea wivu wana Arusha. Huyu Jamaa ni jembe la ukweli.
Watumishi wazembe Arusha waanze kujirudi wenyewe maana Iddi ana namna yake ya kudeal na Warasimu na wababaishaji.
Halmashauri ya Same wanafahamu jinsi wala rushwa na Wazembe walivyohamishwa na wengine walivyopoteza kazi.
Mpango wa Ujenzi wa Stendi ya Mabasi Same ulikuwa umekwamishwa na wafanyabiashara uchwara waliokuwa na majengo eneo la Stendi ambao kila mara waliwatisha Watendaji wa serikali; lkn Iddi alifanikiwa.
Arusha, jembe mmepata, lkn sijui itakuwaje maana ushindani wa siasa ni mkali sana
 
Mbeya imekanyaga kinyesi kwa kumuendekeza fisadi Kapunga, Arusha wakitulia jamaa mzuri sana, ila watendaji wezi wajiandae, hapo hakuna ujanja ujanja, watendaji waadilifu watampenda, Arusha wakiachana na siasa wakaangalia maendeleo watashangaa kuona mapato yakiongezeka maradufu.

Uzuri wa Iddi, haegemei vyama, anasikiliza hoja za madiwani wote pasipo kuangalia huyu chama tawala huyu mbadala.

Ni mtendaji mzuri kwa kweli, hongereni Arusha.
 
ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano
Mkuu ni ya kweli hayo unayo yasema kuwa NA heshima sio kisa hakuna anaye kufuatilia basi NA ww ndo utukane watu kwa kadri uwezavyo
 
Asimamie kwenye haki tu..ataipenda Arusha na yeye atapendwa na wana-Arusha.TUKIANZIA NA UCHAGUZI WA SOMBETINI
 
Mulongo itakuwa alikuwa anataka Mpango wa Kando kutoka kwa B Sipora hana lolote.
 
Back
Top Bottom