ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano
Kwa sifa hizi ulizompa na mahali ambapo Mulongo, Chitanda na ccm inatawala Idd asiende na mizigo. Abebe briefcase tu. Arusha hapamfai.Mbeya imekanyaga kinyesi kwa kumuendekeza fisadi Kapunga, Arusha wakitulia jamaa mzuri sana, ila watendaji wezi wajiandae, hapo hakuna ujanja ujanja, watendaji waadilifu watampenda, Arusha wakiachana na siasa wakaangalia maendeleo watashangaa kuona mapato yakiongezeka maradufu.
Uzuri wa Iddi, haegemei vyama, anasikiliza hoja za madiwani wote pasipo kuangalia huyu chama tawala huyu mbadala.
Ni mtendaji mzuri kwa kweli, hongereni Arusha.
Hapo kwenye red Siyo kweli kwani kapunga anatoka kata ya Itiji tafadhali, na pia IDD hafanani na sifa unazidai anazo kimsingi mamlaka za uteuzi zinakurupuka
jk anatanguliza uswahiba na chama mbele ya maendeleo,namjua mulongo tokea akiwa dc bagamoyo,ni mzinzi na mpenda rushwa hatari.[/QUOTE
he!! siamini macho yangu! bavicha leo wanauponda uzinzi!!! au huyu siyo bavicha! anyway, kama huyo jamaa ni mzinzi mi sijasikia kesi yake hata siku moja.
ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano