Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Mtoto ana figa nzuri ameumbika jamani hatari hiyo. Mgogoro wa Yanga Taarabu hiyo anayo............
Duuh, mimi simo
Halafu ametoka gym.....dada zetu wengine wanafikiri mwili mtamu kama huu unakuja....watabaki na mitumbo yao!