Toka hapo nataka nifagie

Toka hapo nataka nifagie

kwamba utabishana na andiko

Nafikiri maandiko yanaruhusu kuvunja ndoa kama ikibidi, kwa mfano Uzinzi ni moja kati ya amri kumi za Mungu, hivyo mmoja akifanya uzinzi anakuwa amevunja moja kati ya Kuu za Mungu, kwa hiyo inaruhusiwa kuvunja ndoa kulingana na mazingira nionavyo mimi, ...
 
Ila sio kwa mazingira ya mke mkorofi. Mpaka umpate nakesi ya kucheat.
 
HAKUNA KOSA KUBWA KAMA KUMPA NAFASI MWANAMKE AKUPANDE KICHWANI KAMA NI MAPENZI YATAYUMBA NA KAMA NI NDOA ITAKUWA CHUNGU
Si ndio hapo mkuu, mimi ningemwambia oya sitoki kmmk fanya uwezalo
 
Ukimpa nafasi mwanamke anageuka kituko, anakujumlisha na watoto wako. Anataka akupangie jinsi ya kuvaa, kunyoa, nini ule, saa ngapi utoke/urudi, na mengine ya kuudhi.
Kama wife sometimes akirudi tuu kutoka kazini au mishe zake anaanza kutufokea wote mimi na watoto akimaliza anaenda kujifungia bedroom, nimeishiwa nguvu ila niko natafuta nyumba ndogo ili akija na kisirani zake mie najitoa taratiiibuuu, labda kashanichoka hataki sema.
wife anakufokeaje, dah huo upole gani mkuu? muamshie popo mabanzi mixa kumtisha kumuacha, akisepa asepe ndio uanaume huo madem kibwena mzee
 
Na siwezi kuoa Mwanamke ,,mkorofi '', mpaka niamue kuoana naye ni lazima nimesha mjua vizuri na kuona kama tunaweza kuelewana na kuishi pamoja, hayo mengine yanatatulika, ...
Kwani ukorofi utauona sasa mkiwa wachumba😂😂😂!!!

Balaa ni baada ya watu kucheza Kwaito pale😁
 
Kwani ukorofi utauona sasa mkiwa wachumba😂😂😂!!!

Balaa ni baada ya watu kucheza Kwaito pale😁

Kwanza inategemea unamaanisha nini unaposema ,,ukorofi '' kwani hilo neno ni pana, kuna mambo mfano wewe unaweza ukayaona hayakubaliki mimi nikaona ni haina shida na kinyume chake, lkn kurudi kwenye Mada hakuna kinachoweza kunifanya nimuinulie mkono wangu kwa Binadamu mwingine ispokuwa tu kujilinda kama nimeshambuliwa, na nimeshauziwa na kujaribiwa mpaka kufikia breaking point lkn bado niliweza kuondoka kwenye tukio kwa amani, ...
 
Back
Top Bottom