Baraka wa kwanza
Senior Member
- Mar 22, 2023
- 145
- 127
Tatizo kinacho waongoza ni mihemko ya kupenda.Kugundua udanganyifu na upendo hapo ndipo shida ilipo.
Tatizo kinacho waongoza ni mihemko ya kupenda.Kugundua udanganyifu na upendo hapo ndipo shida ilipo.
Pesa inaweza kutengeneza tamaa, ila pesa hiyo hiyo haiwezi kununua upendo.Kama huna hela haya yoote ni kazi bure.
Kugundua udanganyifu ni rahisi sana ikiwa mdanganywaji mtarajiwa atakuwa mtulivu, ipo hivi......Kugundua udanganyifu na upendo hapo ndipo shida ilipo.
Mihemko kivipi tena??Tatizo kinacho waongoza ni mihemko ya kupenda.
Ni kweli unaweza ukawa mtulivu lkn usigundue udanganyifu uliondani ya mtu ni Mpk akupige tukio ndio utang'amua na akili ikukaa sawa.Kugundua udanganyifu ni rahisi sana ikiwa mdanganywaji mtarajiwa atakuwa mtulivu, ipo hivi......
1. Mdanganyaji huja na sifa ya kujibandika madarakani ama uwezo asiokuwa nao, sasa unaweza kumkamata hapo hapo kwenye kujimwagia misifa ya mchongo kwamba ni Mdanganyaji mwenye lengo la kutimiza tamaa zake kisha apotelee gizani.
2. Mwenye upendo wa kweli huwa mtulivu na mvumilivu, hapendi kujisifu wala kusifiwa hata kama utamdharau na kumuona kapuku huwa mtulivu akitafuta kujua kama unafaa kwake ama haufai.
Hizo tofauti 2 zinaweza kukupa ufahamu wa yupi ni Mdanganyaji na yupi mwenye upendo.
Delilah alitumia udhaifu wa mwanaume kutimiza lengo lake (tamaa ya kupiga hela) kila alipombembeleza alimlaza mapajani akiwa katokota.Mfn: Delila na Samson.
Jamaa aliona upendo kumbe hakuna upendo ni udanganyifu.