kwa haraka haraka ipad na iphone ni product za apple isipokuwa zinatofutiuana kwa ukubwa iphone ni simu na ipad ni tablet,
tablet ni vifaa ambavyo touch screen ambavyo ni vikubwa kuliko smart phone (yani havifiti kwenye viganja vya mkono) na uwa havina keyboard iliyounganishwa japo uwa kuna keyboard ambazo zipo seperate zinaweza kupachikwa,
vifaa vikubwa kuliko simu na vidogo kuliko tablet vinaitwa phablet