Tofauti Yetu na Wao !!

CaptainRobinMorgan

Senior Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
106
Reaction score
265
Nimekutana na hizi picha ikabidi nicheke kwanza.... Tulikosea wapi lakini sisi Watanganyika πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Huyo mbibi hadi unaona kichef chefu kumpa tip
 
mshikaji ana roho ngumu....

hawa wa mama ilikuwa walipwe mafao waondoke, sema tu hela ni shidaa;
 
Hiyo picha ya tatu... Hizo nywele hadi mgongoni ndo ugonjwa wangu huo dah!!!
 
mwanzo mgumu jamani.......

tabasamu la kulazimishwa vs tabasamu la hiyari
 
Mifumo ya kubebana,rushwa, huyu mtoto wa shangazi,shemeji yangu,Mama wa Rafiki yangu.

Tanzania maisha kama maigizo ya filamu,hekali mia zakwangu zilizobaki hamsini nitam'gawia Mtoto wa dada yangu.
 
Mifumo ya kubebana,rushwa, huyu mtoto wa shangazi,shemeji yangu,Mama wa Rafiki yangu.

Tanzania maisha kama maigizo ya filamu,hekali mia zakwangu zilizobaki hamsini nitam'gawia Mtoto wa dada yangu.
hahhahahahah dah! aisee
 
Ila hivi vi-Air hostess vinakuwaga vijuriii jomoniii kuna muda vinafanya usafiri wa anga usiwe hatari kwa maisha ya binadamu...Air Tanzania wafanye mapinduzi kwakweli mtu unaweza lala anga lote na kujawa hofu safari nzima,..
 
Mwanzo mlikuja na hoja mnalalamika eti panga boi,imekuja dreamliner with jet engines mmehamisha magoli nakuja na hoja ya kufananisha na ma Air hostess!!
 
Ila hivi vi-Air hostess vinakuwaga vijuriii jomoniii kuna muda vinafanya usafiri wa anga usiwe hatari kwa maisha ya binadamu...Air Tanzania wafanye mapinduzi kwakweli mtu unaweza lala anga lote na kujawa hofu safari nzima,..
VIJURIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…