Tofauti ya zamani na sasa

bowlibo

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
3,205
2,904
1. zamani mtu kuwa mkubwa serikalini ilikuwa ni neema, siku hizi ni mzigo

2. zamani kazi serikalini ilikuwa kazi kidogo, mapato mlima

3. zamani serikalini fuko la pesa kila mtu anaulizia liko wapi, siku hizi kila mtu analikimbia

endeleeni
 
Back
Top Bottom