Ila sometimes tunawaonea hao wanawake, kila mtu kaumbwa akutane na mtu wa size yake, ukiona unaona sijui mwanamke ana mashine ndefu jua huyo sio wako na wewe ndio mwenye matatizo ya mashine fupi wapo wanaume wamejaaliwa na wanazitafuta hizo. sijui mashine pana jua ya kwako penseli usilalamike wala kujudge wanawake wewe ndio mwenye matatizo. Sisi wanaume tunajua sana kujudge wanawake wakati wengine wetu wana vibamia.
Mwanamke ni kama nyumba ya kupanga kama una assets za kutosha utaijaza kama assets zako ni jiko la mchina na godoro then ukapanga ghorofa tatu MASAKI unategemea nini zaidi utabaki kulalamika nyumba kubwa kumbe wewe unatakiwa upange chumba kimoja MANZESE KWA MFUGA MBWA badala yake ukajiingiza kwenye ghorofa! Hayo maghorofa TUACHIENI SISI TULIO NA ASSETS ZA KUTOSHA HADI SERVANTS QTR tunajaza. ACHENI KUWASEMA WANAWAKE WANA MATATIZO WAKATI NYIE NDIO MNA SHIDA!