Hela yote ni ya Samia, deni ni la taifa!Ni kiasi cha uelewa wa jambo, umuhimu wake,sikio la kusikiliza na mwisho kabisa kuchakata jambo lenyewe.
View attachment 3412467
Kama alivyotuacha! Hatutaki ashindwe kututambua akirudi.😅😂😂😂😂😂 Yesu atarudi na kutukuta hapa hapa