Tofauti ya Wairani na Wengine

Waaleikum salaam

Tunataka kuwasikiliza na kuwasoma watu kama ninyi mnaofanya research kwanza Sheikh, sio watu wanaobwabwaja humu na kujifanya wajuaji
 
Nimekusikiliza vizuri sana Sheukh wangu na tayari nimekuelewa kuwa vita hivi vina udini ndani yake au niseme ni ya kidini zaidi kuliko kimaslahi...Iran wanaisimama katika Uislam wao wanachukiwa na Makafiri, ila Wamisri kwakuwa tayari wanaendana na mfumo wa kikafiri hawawezi kusumbuliwa Asilani
Allah atasimama na Dini ya Hakhi itasimama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…