Tofauti ya umri wa Marais Afrika na Ughaibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya umri wa Marais Afrika na Ughaibuni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Brooklyn, May 25, 2010.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145


  BAADHI YA MARAIS WA AFRIKA NA UMRI WALIO NAO
  Hosni Mubarak ( Misri) miaka 82

  Robert Mugabe ( Zimbabwe ) 86
  Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) 74
  Rupiah Banda ( Zambia ) 73
  Mwai Kibaki ( Kenya ) 71Colonel Gaddafi ( Libya ) 68
  Jacob Zuma ( Afrika ya Kusini ) 68
  Ian Khama ( Botswana ) 57
  JK (Tanzania) 59

  Wastani: 72.4

  ______________________________

  UGHAIBUNI MAMBO NI HIVI
  Barrack Obama (USA) 48
  David Cameron (UK) 43
  Dimitri Medvedev ( Russia ) 45
  Stephen Harper ( Canada ) 51
  Kevin Rudd ( Australia ) 53
  Nicolas Sarkozy ( France ) 55
  Luis Zapatero ( Spain ) 49
  Jose Socrates ( Portugal ) 53
  Wastani: 49.6

  Je kuna mahusiano ya moja kwa moja kati umri wa viongozi na maendeleo ya nchi wanazoziongoza??

  Nimeinyofoa toka issamichuzi.blogspot.com
   
 2. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Lakini umeamua kuchagua
  Mbona hujawachagua akina JOSEE KABILA, OMARI BONGOO mtoto.
  Na hata vivyo hawa wazee wa africa nafikiri nao wanasource nzuri ya kuchangia huo umasikini. Lakini nikiangalia hata huku ugaibuni vyama vya waafrika viko SHAGALABAGALA tofauti kabisa na vyama vya jamii zingine kama vile WAVIETNAM, WACHINA etc. Na ukirudi ktk ushirikiano.

  yani to be sincere ni kwamba ushirikiano wa afrika ugaibuni ni almost ZERO, iko well disorganized pia ni tofauti na jamii zingine.

  Mimi bado nafikiri tunatatizo la msingi ambalo tu-nalikwepa kuli address kwa visingizio hivi na vile.
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Sio huko pekee; ona hata hapa nyumbani wakati pale Dar watu wana vyama vya kijamii vya koo fulani wenzetu wahindi wana ushirikiano wa jamii nzima!

  Ni kweli naungana nawe tuna kasoro mahala
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwa kesi ya mugabe na huyo wa Misri ni exceptional.
  Lakini kadri miaka inavyokwenda naona angalau marais wa Africa wanaowekwa madarakani atleast ni 'vijana'
  Ni kweli umri wa marais una 'effect' na maendeleo ya nchi.
   
 5. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Ndiyo hivyo mkuu, Mie wengi huwa wanadhani ni ccm lakini kiukweli sio wala siijui kadi ya ccm inavyofanana. Lakini tatizo langu na hawa wakosoaji wa wana ccm wanashindwa kua adress binafsi ninachotegemea kiwe addressed na ndiyo maana naona wao na ccm ni package ya bidhaa moja iliyotumwa ktk vifurushi tofauti.

  Binafsi naamini tunatatizo la msingi ambalo tunashindwa kuliona, maana kama hadi ugaibuni mtindo ni ule ule tu, tena kwa mataifa yote wanaotoka africa, sasa binafsi nikifikilia nashindwa kuelewa kama kweli tatizo la TZ na CCM ama ni sisi ndo tatizo.
   
Loading...