Boniphace Kichonge JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 1,605 Reaction score 1,958 Oct 20, 2017 #1 Wadau kwa wenye kuifahamu Singida vizuri ipi tofauti ya msingi baina ya Mnyaturu na Mnyiramba? Karibuni
Wadau kwa wenye kuifahamu Singida vizuri ipi tofauti ya msingi baina ya Mnyaturu na Mnyiramba? Karibuni
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,740 Reaction score 76,383 Oct 20, 2017 #2 Boniphace Kichonge said: Wadau kwa wenye kuifahamu Singida vizuri ipi tofauti ya msingi baina ya Mnyaturu na Mnyiramba? Karibuni Click to expand... Lugha zao
Boniphace Kichonge said: Wadau kwa wenye kuifahamu Singida vizuri ipi tofauti ya msingi baina ya Mnyaturu na Mnyiramba? Karibuni Click to expand... Lugha zao
S sikapendi Member Joined Apr 11, 2014 Posts 19 Reaction score 8 Oct 20, 2017 #3 Wanyeramba na Wanyaturu ni makabila mawili tofauti kabisa, lugha na tamaduni zao zinatofautiana kwa mbali sana. Umoja wao ni kuwa katika mkoa mmoja na pia ni watani.
Wanyeramba na Wanyaturu ni makabila mawili tofauti kabisa, lugha na tamaduni zao zinatofautiana kwa mbali sana. Umoja wao ni kuwa katika mkoa mmoja na pia ni watani.
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,827 Oct 20, 2017 #4 Boniphace Kichonge said: Wadau kwa wenye kuifahamu Singida vizuri ipi tofauti ya msingi baina ya Mnyaturu na Mnyiramba? Karibuni Click to expand... Umepata mchumba huko
Boniphace Kichonge said: Wadau kwa wenye kuifahamu Singida vizuri ipi tofauti ya msingi baina ya Mnyaturu na Mnyiramba? Karibuni Click to expand... Umepata mchumba huko