mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,082
Kumezuka tabia ya mameya ya kulalamika sana mitaani kuhusu maslahi yao kimadaraka na kiuchumi, hivi majukumu na nafasi ya Meya ni nini? Tusije kuwa tunapata mameya kutoka vijiweni na kushindwa kujielewa nafasi zao.
Meya mmoja wa UKAWA amegeukia shilingi na imani imemtoka kabisa maana anaona malengo yake hayatimii.
Tulitafakari jambo hili waungwana maana Ubungo hata miundo mbinu ya barabara za kulimwa ni shida ila Meya kutwa kufanya siasa mitandaoni ilihali ana nafasi ya kuinfluence mabadiriko.
Kwa mkoa wa DSM naamini Ubungo ndo miundo mbinu ina hali mbaya zaidi. Hivi vitu vinatuumiza wote so msituambie kabisa mambo ya UKAWA hayatuhusu.