Kwa kiswahili yana maana sawa lakini kwa kwenye kiingereza yanatumika katika mazingira tofauti. Ni kama begin na start. Believe ipo kiroho zaidi, imani ya mtu ( dini/kwa mizimu) ni belief na sio trust, lakini mtu anaweza kuwa na imani na mwenzie au kitu chake kuwa hata/hakita mwangusha (trust). Ni complex kidogo.