Tofauti ya maandamano na matembezi

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,401
Tofauti ya MAANDAMANO na MATEMBEZI.

Maandamano; ni kupigania jambo ambalo limekosa Suluhu kila eneo na hivyo nguvu ya ziada inatumika kupata Suluhu.(VURUGU)

Matembezi; ni kupigania jambo fulani kwa kudai haki ya kutaka Suluhu kwa makubaliano ya amani.(MAKUBALIANO)

Deogratius Nalimi Kisandu
ASUBUHI News.
 
Ndiyo maana umepokelewa uvccm kutokana na upeo wako wa kufikiri
 
huko sero walikuacha salama kweli au walikupasulia yai?
 
Mvinyo mpya chupa ileile..au kinyume chake?
 
Haupo sahihi hata kidogo. Nenda tena, darasani! Mkuu kisandu.
 
Ati mnasema huyu jamaa ni mwalimu?

Katika shule atakayofundisha mwanangu hawezi soma
 
Deo, pole tena kwa yote.
Baada ya hapa

Nilidhani umebadilika!, kumbe bado!. Nakushauri utulie kwa muda, mambo ya mitandao achana nayo, subiri kesi iishe ili usije ukazua kesi juu ya kesi.

Ni ushauri tuu!.

P.
​
 
Deo ametoa tu "definitions" ambazo hua zinabadilika kulingana ni mtizamo wa mtu au jamii (siasa sio sayansi, samahani mliosoma political "science" mlidanganywa😀)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…