Tofauti ya kampeni baina ya CCM na CHADEMA

Trump2 wewe ni mnafiki. Kama umeamua kueleza kampeni, elezea wagombea walisema nini kila upande. Iringa unaeleza alichosema mgombea, Arusha unaeleza alichosema mpambe na si alichosema mgombea, hii inakusaidia nini. BTW, wapiga kura ndiyo wanaojua wagombea wao wanawaambia nini na wataamua wao kwa kupima maelezo ya wagombea. Mnazichosha akili zenu kwa kufikiria vitu visivyo na manufaa kwenu na jamii.
Kwa umri wako, huna sababu ya kujibeba na mambo ya kijinga kwa sababu tu uonekane umepost thread.
 
Hahaha Mkuu wewe ni Mchambuzi wa masuala ya kisiasa hodari kwa kweli umewatendea haki chadema nimechekaa sana kidogo nipaliwe na supu
 
Maendeleo yanategemeo kodi zetu kutokana na utawala bora. Tunashuhudia utawala wa CCM na wewe mpiga debe wao mkionyesha uhodari wa umbumbumbu na ushamba. Risasi 38 kwa Lisu kwenye eneo la viongozi mmeondoa CCTV camera ili wasiojulikana wasijulikane. Hayo si bure ni maendeleo ya viwonder.
 
Huduma muhimu za jamii mpaka mwisho wa dunia Afya, mawasiliano, Maji, makazi, kazi na Elimu. Mwanasiasa kazi yake ni kuwavoreshea hayo watu wake. Unayeshanga CCM kuongelea hayo kwa miaka yote, hujui wajibu wa mwanasiasa. KUBORESHA huduma kulingana na ongezeko la mahitaji na Teknologia.
 
Wacha watu wasikie mambo mapya, hizo kampeni za ccm ni kama vile vispika vidogo vilivyorekodiwa kuhusu bidhaa fulani. Kila siku ni tatizo la maji, umeme, barabara na afya!! Mtu kazaliwa miaka ya 80 mpaka leo anasikia ahadi hizohizo.
SUMU YA PANYAAA
KUNGUNI, VIROBOTO,MUCHWAAAAA
 

Trump2JF-Expert Member
#1
Today at 10:32 AM

Joined: May 28, 2017
Messages: 608

Likes Received: 1,061

Trophy Points: 180

MUNGU AKUSAMEHE
 
Mmetawala tangu 1961 still mnaleta Sera zile zile za maji, umeme, elimu. Let the Foxes decide
Labda huoni. Kama unaona hali kila mwaka inabadilika toka eneo moja hadi jingine. Japo kidogo, kina maana zaidi kuliko pumba fulani. Eti siogopi polisi, lisu kapigwa risasi:; hizo ni Sera au story?
 
Ni kweli CCM inaimarika, na ma-DC wanaonunua madiwani wanapewa u-RC
 
Her huyo Mwenye kuhitaji huruma kuliko huyo ambaye anadai ataleta Maendeleo wakati chama chake kimeshatawala zaidi ya miaka 50 sera ni Hizo, Hizo maji, elimu, huduma za afya na barabara. Bora nichague jiwe kuliko Ccm
Lowasa anafaa sana. Maana alikuwa hukohuko ccm akiwa fisadi na sasa chadema ametakata.
 
Marekani Uhuru tangu 1776 lakini hadi Leo hawajamaliza kero za wananchi. Tanzania mwaka 1961 iwe imemaliza kero za wananchi. Itawezekanaje? Hao akina lisu kupigwa risasi na hata Marekani wanapigwa risasi hadi Rais wao. Cha ajabu kipi? Umekaririshwa Sera?
 
Mkuu najipenda Ila kwenye ukweli nitasema. Chadema wana PHD ya matusi soma comments za mfano BAK utafikiri anaandika comments yupo MIREMBE Hospital.
Mkuu, wakati mwingine hata Mimi huwa nashangaa. Kuna vitu wanavyopigia kelele hata kwa hao mabwana zao vinafanyika. Kule marekani nakumbuka matukio kama ya akina lisu yapo pia. Kama ni matatizo nako yapo pia. Marekani miaka zaidi ya 200 ya Uhuru lakini bado wanachangamoto kibao za kijamii kama umaskini na ukosefu wa ajira. Ccm miaka 50 tu inaonekana kama haijafanya chochote chema kwa watanzania. Ukweli tuseme na uwongo tusiseme. Kwa kiasi chake kama serikali kwa miaka 50 ya Uhuru kuna mabadiliko karibu kila mwaka. Kasoro za watawala wetu kote dunian zipo. Tunajidharau na kuutukuza uzungu. Kweli nyumbu ni zero.
 
Unahitaji ukombozi wa kifikra.unajua maadaui wa nchi hii ni Wanne.umaskini, ujinga,maradh na Wanne malizia
 
Labda huoni. Kama unaona hali kila mwaka inabadilika toka eneo moja hadi jingine. Japo kidogo, kina maana zaidi kuliko pumba fulani. Eti siogopi polisi, lisu kapigwa risasi:; hizo ni Sera au story?
Mbona una chuki sana mkuu? Au umetumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…