Tofauti ya kampeni baina ya CCM na CHADEMA

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
CCM (IRINGA) ; Ndg watanzania wenzangu naomba kura yako ili nikuleteeni maendeleo najua kwenye kata yetu tunashida ya maji hivyo mkinichagua nitaanza na tatizo hilo kadhalika barabara zetu hazipitiki hivyo lazima nitalifanyia kazi swala hili pia mapema iwezekanavyo nk... (anaendelea kueleza changamoto za kata husika na namna ya kutatua).
Pia anagusia hatua mbali mbali zinazochukuliwa na rais wetu mpendwa.

CHADEMA(LEMA..ARUSHA) ; Nimekaa jela miezi minne na siku 20, natembea na mswaki kwenye suti, siogopi police, naskia mkuu wa mkoa anataka ubunge wa jimbo hili, Lissu ameshambuliwa na risasi za kutosha, kila siku nawindwa..

Mbowe amebomolewa jengo lá NHC zamani bilcanas, hata kama alikuwa halipi Lakini.
Pia makamanda CCM ni wepesi sana..
NAOMBENI KURA ZENU KWA MGOMBEA WETU.

::::Tafakari na Chukua hatua::::::
 
CHADEMA(LEMA..ARUSHA) ; Nimekaa jela miezi minne na siku 20, natembea na mswaki kwenye suti,siogopi police, naskia mkuu wa mkoa anataka ubunge wa jimbo hili,Lissu ameshambuliwa na risasi za kutosha,kila siku nawindwa..
Mbowe amebomolewa jengo lá NHC zamani bilcanas,hata Kama alikuwa halipi Lakini.....
Pia makamanda CCM ni wepesi sana......
NAOMBENI KURA ZENU KWA MGOMBEA WETU.

::::Tafakari na Chukua hatua::::::
CCM kura ya Maendeleo
Chadema kura ya Huruma
 
Wacha watu wasikie mambo mapya, hizo kampeni za ccm ni kama vile vispika vidogo vilivyorekodiwa kuhusu bidhaa fulani. Kila siku ni tatizo la maji, umeme, barabara na afya!! Mtu kazaliwa miaka ya 80 mpaka leo anasikia ahadi hizohizo.
 
Upinzani ulikuwa juu sana kwa sababu ya ubovu wa Ccm lakini sasa Ccm ina inaimalika upinzani kwishinei.
Na wabunge wa upinzani waanze kujiandaa kisaikolojia kwani wataonge nini zaidi ya kusema Tunaonewa, tukitukana tuna kamatwa na mambo kama hayo.

Hivyo tumegundua kuwa ni wababaishaji sasa tunarudi kuanza upya na Ccm na upinzani wajijenge upya na waanze na tena na Mungu na wamalize na Mungu kama walivyo zoea kusema.
 
CCM (IRINGA) ; Ndg watanzania wenzangu naomba kura yako ili nikuleteeni maendeleo najua kwenye kata yetu tunashida ya maji hivyo mkinichagua nitaanza na tatizo hilo kadhalika barabara zetu hazipitiki hivyo lazima nitalifanyia kazi swala hili pia mapema iwezekanavyo nk... (anaendelea kueleza changamoto za kata husika na namna ya kutatua).
Pia anagusia hatua mbali mbali zinazochukuliwa na rais wetu mpendwa.

CHADEMA(LEMA..ARUSHA) ; Nimekaa jela miezi minne na siku 20, natembea na mswaki kwenye suti, siogopi police, naskia mkuu wa mkoa anataka ubunge wa jimbo hili, Lissu ameshambuliwa na risasi za kutosha, kila siku nawindwa..

Mbowe amebomolewa jengo lá NHC zamani bilcanas, hata kama alikuwa halipi Lakini.
Pia makamanda CCM ni wepesi sana..
NAOMBENI KURA ZENU KWA MGOMBEA WETU.

::::Tafakari na Chukua hatua::::::
Mmetawala tangu 1961 still mnaleta Sera zile zile za maji, umeme, elimu. Let the Foxes decide
 
Bila ya mbeleko ya Tume na Polisi CCM hamna chenu, bunduki za nini jamani?
Tume mbali sana mngekuwa na angalau na mawakala wenye misimamo angalau,hata mawakala wenu ni wanaccm hawana msimamo,wepesi wakitingishwa kidogo washalala mbele.
 
Her huyo Mwenye kuhitaji huruma kuliko huyo ambaye anadai ataleta Maendeleo wakati chama chake kimeshatawala zaidi ya miaka 50 sera ni Hizo, Hizo maji, elimu, huduma za afya na barabara. Bora nichague jiwe kuliko Ccm
 
CCM (IRINGA) ; Ndg watanzania wenzangu naomba kura yako ili nikuleteeni maendeleo najua kwenye kata yetu tunashida ya maji hivyo mkinichagua nitaanza na tatizo hilo kadhalika barabara zetu hazipitiki hivyo lazima nitalifanyia kazi swala hili pia mapema iwezekanavyo nk...
Hapa ndipo penye haja ya kuiondoa CCM madarakani,chama gani kimetawala zaidi ya miaka 50 lakini bado wanaendelea kuomba kura kwa kutoa ahadi za mkinichagua nitawafanyia hiki na hiki,badala ya kuomba kura kwa wananchi kwa kueleza mafanikio yaliotokana na CCM kwa wananchi.

Hii ni dalili mbaya kwa CCM kuwa kama walishindwa kufanya haya wanayosema watawafanyia wananchi kwa kipindi cha zaidi ya miaka 50 ya kukaa madarakani na hata wakiongezewa miaka mingine 50 kulialia kutaendelea vilevile.

Ni heri ya wapinzani wanaosema ukweli kwa wananchi kuwa Lissu alishambuliwa na ni kweli alishambuliwa na wananchi wanalijua hilo,wakisema kuwa vitalu vya Mbowe viling'olewa ni kweli viling'olewa na hakuna mwananchi asiyejua kuwa vitalu vya Mbowe viling'olewa na mtuhumiwa namba1 ni CCM.

Ujumbe unaotumwa na wapinzani kwa wananchi ni kwamba kuichagua CCM ni kuchagua manyanyaso kwa wananchi.

Lissu kashambuliwa leo,vitalu vya Mbowe vimeng'olewa leo,kesho watakaofanyiwa hivyo ni wananchi wakawaida.

Ili kukomesha unyanyasaji huu na kwa huduma bora kwa wananchi ambazo CCM wameshindwa kuwafanyia wananchi kwa zaidi ya miaka 50 waliokaa madarakani ni kuuchagua upinzani.
 
CCM (IRINGA) ; Ndg watanzania wenzangu naomba kura yako ili nikuleteeni maendeleo najua kwenye kata yetu tunashida ya maji hivyo mkinichagua nitaanza na tatizo hilo kadhalika barabara zetu hazipitiki hivyo lazima nitalifanyia kazi swala hili pia mapema iwezekanavyo nk... (anaendelea kueleza changamoto za kata husika na namna ya kutatua).
Pia anagusia hatua mbali mbali zinazochukuliwa na rais wetu mpendwa.

CHADEMA(LEMA..ARUSHA) ; Nimekaa jela miezi minne na siku 20, natembea na mswaki kwenye suti, siogopi police, naskia mkuu wa mkoa anataka ubunge wa jimbo hili, Lissu ameshambuliwa na risasi za kutosha, kila siku nawindwa..

Mbowe amebomolewa jengo lá NHC zamani bilcanas, hata kama alikuwa halipi Lakini.
Pia makamanda CCM ni wepesi sana..
NAOMBENI KURA ZENU KWA MGOMBEA WETU.

::::Tafakari na Chukua hatua::::::
PERFECT POLITICAL ANALYISIS .Mleta mada uko sahihi 100%.Hiyo ndio chadema ilipofikia SO LOW.Slaa huko aliko atakuwa anasikitika mno.Chadema aliyoiacha sio hii iliyopo.Hii iliyopo ni ya wajinga fulani hivi
 
Wacha watu wasikie mambo mapya, hizo kampeni za ccm ni kama vile vispika vidogo vilivyorekodiwa kuhusu bidhaa fulani. Kila siku ni tatizo la maji, umeme, barabara na afya!! Mtu kazaliwa miaka ya 80 mpaka leo anasikia ahadi hizohizo.
Yule alowaambia 50 kila kijiji halafu ikapita hola vipi hapo!!! Watanzania tumezowea siasa za kudanganywa.
 
PERFECT POLITICAL ANALYISIS .Mleta mada uko sahihi 100%.Hiyo ndio chadema ilipofikia SO LOW.Slaa huko aliko atakuwa anasikitika mno.Chadema aliyoiacha sio hii iliyopo.Hii iliyopo ni ya wajinga fulani hivi

Acha unafiki, onyesha post uliyowahi kumtetea Slaa wakati anaitwa padri mzinzi.
 
Back
Top Bottom