Tofauti ya kampeni baina ya CCM na CHADEMA

Upinzani ulikuwa juu sana kwa sababu ya ubovu wa Ccm lakini sasa Ccm ina inaimalika upinzani kwishinei.
Na wabunge wa upinzani waanze kujiandaa kisaikolojia kwani wataonge nini zaidi ya kusema Tunaonewa, tukitukana tuna kamatwa na mambo kama hayo.

Hivyo tumegundua kuwa ni wababaishaji sasa tunarudi kuanza upya na Ccm na upinzani wajijenge upya na waanze na tena na Mungu na wamalize na Mungu kama walivyo zoea kusema.
Nani kakudanganya ccm inakubalika?
Nimecheka sana,yaani
Personal issue vs public issue
 
Wacha watu wasikie mambo mapya, hizo kampeni za ccm ni kama vile vispika vidogo vilivyorekodiwa kuhusu bidhaa fulani. Kila siku ni tatizo la maji, umeme, barabara na afya!! Mtu kazaliwa miaka ya 80 mpaka leo anasikia ahadi hizohizo.
Natamani nipewe nafasi na chama dume nikabadilishe upepo wa uchaguzi. Natamani niseme makuu wana jf Tuombe nipate gape.
 
CCM (IRINGA) ; Ndg watanzania wenzangu naomba kura yako ili nikuleteeni maendeleo najua kwenye kata yetu tunashida ya maji hivyo mkinichagua nitaanza na tatizo hilo kadhalika barabara zetu hazipitiki hivyo lazima nitalifanyia kazi swala hili pia mapema iwezekanavyo nk... (anaendelea kueleza changamoto za kata husika na namna ya kutatua).
Pia anagusia hatua mbali mbali zinazochukuliwa na rais wetu mpendwa.

CHADEMA(LEMA..ARUSHA) ; Nimekaa jela miezi minne na siku 20, natembea na mswaki kwenye suti, siogopi police, naskia mkuu wa mkoa anataka ubunge wa jimbo hili, Lissu ameshambuliwa na risasi za kutosha, kila siku nawindwa..

Mbowe amebomolewa jengo lá NHC zamani bilcanas, hata kama alikuwa halipi Lakini.
Pia makamanda CCM ni wepesi sana..
NAOMBENI KURA ZENU KWA MGOMBEA WETU.

::::Tafakari na Chukua hatua::::::
Miaka 50 yote mlikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom