Ijue imani yako ifuate ,imani za wengine achana nazo mnajadili uislamu kwa sababu upo Tanzania mbona hamjadili uhindu au shinto …Usitumie ukristo kama kinga ya kutukana imani za watu kila mtu ana haki ya kuamini anachoona yeye bila kuvunja sheria za nchi wala kutukana wengine… MUNGU NI UPENDO TUPENDANE.