buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,311
- 10,151
Huhitaji kujua tofauti ya types of democracy maana katika hali ya sasa nafikiri utawala huu umebadili democracy kutoka direct democracy ambayo huzingatia hisia kwenda indrect democracy ambayo huzingatia fikra sana kutokana na badiliko hilo ndo maana sasa tuliozoea kuhisi vitu pasipo kuvipima.
Tunaona rais ni dikteta, mfano hai wa indrect democracy ni Ujerumani na direct democracy ni UK ndo maana waingereza walitawaliwa na hisia kuwa EU ni mbaya hadi kuanzisha brexit ambayo iliwatoa.
Tunaona rais ni dikteta, mfano hai wa indrect democracy ni Ujerumani na direct democracy ni UK ndo maana waingereza walitawaliwa na hisia kuwa EU ni mbaya hadi kuanzisha brexit ambayo iliwatoa.