pia Republicans wengi walikuwa wanapinga utumwa wakati Democrats wengi waliuunga.
Another lie .Abraham Lincoln alikuwa republican yeye ndio alitia signature to end slave na democratic walipinga walitaka utumwa uendelee.Reagan alitoa George Washington holiday akamweka Martin Luther king day .Reagan again ni republican .uwe unasoma