Tofauti ya CHADEMA na CCM hii hapa

wachangiaji wangapi?

Kama sijaongea ukweli, toa maelezo kinyume na hayo niliyosema. Nasijaona hata mmoja akiuliza ushahidi ili nitoe. Wote wanasema sio pointi. Sasa tutathibitisha vipi kama ni chama makini ambacho hata mambo madogo wanakwepa?
 
Nimechunguza kila chama na nikagundua haya katika vyama hivi viwili:-
1. Chadema ni walalamikaji sanaaaa-CCM ni sakivu na wanajari kile wanacho lalamika.
2. Chadema kunamagamba mabichi - CCM kunamagamba yaliyooza
3. Chadema hawataki kusemwa - CCM ni wavumilivu wako tayari kusemwa na kujirekebisha.
4. Chadema sio wazalendo (Wakiudhiwa kidogo bungeni wanazira) - CCM hata ukiwaudhi watakusikiliza na kufikiri na kutoa jibu

5. CHADEMA wanadhani wao Tanzania ni yao - CCM wanachulia Tanzania ni ya watanzania.
NAPE: Nchi hii ina wenyewe, na wenyewe ndio sisi
Kunautofauti mkubwa sana katika vyama hivi viwili lakini watu wa CDM watakataa. Hebu jaribu kufikiria hata wewe
Pumpkin head,....

Kiboko yenu huyu hapa.....mtahangaika sana lakini hamna ujanja wa kumgusa!!!!

MTANZANIA+10.JPG
 
Hivi unanijua mimi? au unasema tu? si kilakitu uchangie. Na kuna mambo yanayo nikera lazima tukae pamoja kama jamii tuyazungumze na mwisho wake maisha yaende mbele.
Tikiti maji jingine hili!!
 
Pumpkin head,....

Kiboko yenu huyu hapa.....mtahangaika sana lakini hamna ujanja wa kumgusa!!!!

MTANZANIA+10.JPG

Huu ni ufinyu wa kimawazo wa WANACHADEMA. Hawana hoja za kujitetea hivi kweli nyie ndio mnataka kuchukua nchi yetu. No way haitokaa itokee. Mmeshindwa kutoa point yeyote!! Shame on you CHADEMA
 
Sidhani kama wewe ni great thinker kwa hiki kinyesi ulichoandika, kabla huja post jitahidi kupitia ulichoandika.

na wewe hautakua great thinker, great thinker na mtu makini humsahihisha au kuelimisha na kukosoa kimantiki makosa yaliyopo, siyo shutuma tu na kejeli, mwisho wa siku watu makini wanawaona wote ni wapumba..
 
Nimechunguza kila chama na nikagundua haya katika vyama hivi viwili:-
1. Chadema ni walalamikaji sanaaaa-CCM ni sakivu na wanajari kile wanacho lalamika.
2. Chadema kunamagamba mabichi - CCM kunamagamba yaliyooza
3. Chadema hawataki kusemwa - CCM ni wavumilivu wako tayari kusemwa na kujirekebisha.
4. Chadema sio wazalendo (Wakiudhiwa kidogo bungeni wanazira) - CCM hata ukiwaudhi watakusikiliza na kufikiri na kutoa jibu

5. CHADEMA wanadhani wao Tanzania ni yao - CCM wanachulia Tanzania ni ya watanzania.

Kunautofauti mkubwa sana katika vyama hivi viwili lakini watu wa CDM watakataa. Hebu jaribu kufikiria hata wewe

Hujamalizia tofauti nyingine zinazogusa jamii.
1. CCM na Mikataba mibovu Richmond, Dowans, Buzwagi nk CHADEMA wanaipinga kwa nguvu zote
2. CCM imewakumbatia mafisadi PAPA CHADEMA inapinga ufisadi na inataka wafikishwe mahakamani
3. CCM imeshindwa kusema nani wamepewa fedha za kufufua uchumi CHADEMA inataka wananchi waambiwe
4. CCM imeshundwa kurekebisha mfumuko wa bei ya vyakula CHADEMA wanaitaka itoe majibu juu ya hili
5. CCM wamefadhili wizi wa wanyama hai kusafirishwa nje ya nchi kama Twiga nk CHADEMA inataka wahusika wote wafikishwa mahakamani ingawa mmoja alishatoroshwa
MENGINE WADAU WAONGEZE kweli vyama hivi vina tofauti kubwa na nyingi.

Huu ni ufinyu wa kimawazo wa WANACHADEMA. Hawana hoja za kujitetea hivi kweli nyie ndio mnataka kuchukua nchi yetu. No way haitokaa itokee. Mmeshindwa kutoa point yeyote!! Shame on you CHADEMA

Hii nchi itabidi tuwaachie wendawazimu labda ndio watakaoweza kuiendesha
maana tumejaribu hawa maprofessor na ma-Dokta kwa miaka 50 umasikini
bado uko pale pale na CHINA haina maprofessor na madokta wengi kama
Tanzania lakini inamendeleo makubwa tuliyopaswa kuwa nayo leo.
Mtaji wa kujenga China na Japan,Marekani umetoka Tanzania
.

Tena usirudie tena kuwasema vibaya hawa CHADEMA kidogo wanasaidia kuwaamsha watanzania
Tuwaunge mkono na tuhakikishe tunaisambaratisha CCM kabla ya 2015

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Afrika
 
Hujamalizia tofauti nyingine zinazogusa jamii.
1. CCM na Mikataba mibovu Richmond, Dowans, Buzwagi nk CHADEMA wanaipinga kwa nguvu zote
2. CCM imewakumbatia mafisadi PAPA CHADEMA inapinga ufisadi na inataka wafikishwe mahakamani
3. CCM imeshindwa kusema nani wamepewa fedha za kufufua uchumi CHADEMA inataka wananchi waambiwe
4. CCM imeshundwa kurekebisha mfumuko wa bei ya vyakula CHADEMA wanaitaka itoe majibu juu ya hili
5. CCM wamefadhili wizi wa wanyama hai kusafirishwa nje ya nchi Twiga nk CHADEMA inataka wahusika wote wafikishwa mahakamani ingawa mmoja alishatoroshwa
MENGINE WADAU WAONGEZE kweli vyama huvi vina tofauti kubwa na nyingi.

Nadhani kwanza umekubaliana na mimi ndio ukaongezea sio?

Okey ngoja nikutolee maelezo: Sikatai kuwa kuna matatizo yaliyojitokeza kwenye CCM. Uko sawa kabisa.

LAKINI
CCM sasa inajirekebisa na ukiona sasa kila kitu kinaenda sawia. CHADEMA wameanza kuwa na magamba mapya kabisaa.

1. Utunzaji wa pesa ndani ya chama haueleweki.
2. Hawana process za kufundisha viongozi yaani ni fungulia dog
3. Wanadai wako na wanasheria but hawasolve mambo kisheria wanakurupuka tu. Mfano mikataba hiyo uliyosema wamesolve vipi kisheria? kama kweli ni makini zaidi ya kupiga kelele kwa watanzania ili wawahurumie.
4. Viongozi wake hawana experience ya uongozi zaidi ya ujuzi wa biashara na hiyo inakipelekea chama kuwa kama kampuni.
5. Mmepata kitu kidogo tu sasa mnaanza kufanya ufisadi (kula rushwa mfano MOSHI)
6. Mnataka kujitafutia sifa ambazo haziwahusu. Mfano katiba ya TANZANIA mnataka kujifanya nyie ndio mliopigia kelele wakati CUF ndio chama pekee kilicho anzisha suara hili.

Kuna yapo mengi sana ila nashukuru kwa KUUNGA MKONO HOJA YANGU.
 
Hii nchi itabidi tuwaachie wendawazimu labda ndio watakaoweza kuiendesha
maana tumejaribu hawa maprofessor na ma-Dokta kwa miaka 50 umasikini
bado uko pale pale na CHINA haina maprofessor na madokta wengi kama
Tanzania lakini inamendeleo makubwa tuliyopaswa kuwa nayo leo.
Mtaji wa kujenga China na Japan,Marekani umetoka Tanzania
.

Tena usirudie tena kuwasema vibaya hawa CHADEMA kidogo wanasaidia kuwaamsha watanzania
Tuwaunge mkono na tuhakikishe tunaisambaratisha CCM kabla ya 2015

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Afrika

Wewe huwezi ukawa mwamuzi wa mawazo yangu mimi ni mimi na wewe ni wewe. Wewe chadema mimi sio chadema. So niwaunge mkono kwa sera zao mbovu?
 
Toa uzuzu wako hapa. hakuna muda wa kubishana na mazuzu.. na si bure umetumwa wewe. mnanunulika kwa kilo ya mchele.

Tunawajua nyie CHADEMA hamna pointi mmejaa matusi tu.
 
Back
Top Bottom