Tofauti ya CHADEMA na CCM hii hapa

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Nimechunguza kila chama na nikagundua haya katika vyama hivi viwili:-
1. Chadema ni walalamikaji sanaaaa-CCM ni sakivu na wanajari kile wanacho lalamika.
2. Chadema kunamagamba mabichi - CCM kunamagamba yaliyooza
3. Chadema hawataki kusemwa - CCM ni wavumilivu wako tayari kusemwa na kujirekebisha.
4. Chadema sio wazalendo (Wakiudhiwa kidogo bungeni wanazira) - CCM hata ukiwaudhi watakusikiliza na kufikiri na kutoa jibu

5. CHADEMA wanadhani wao Tanzania ni yao - CCM wanachulia Tanzania ni ya watanzania.

Kunautofauti mkubwa sana katika vyama hivi viwili lakini watu wa CDM watakataa. Hebu jaribu kufikiria hata wewe
 
mtoa mada nakuunga mkono kwa points zote ulizotaja,wanacdm jirekebishen jamani mnatha aibu,ndo maana kinaitwa chama cha wanaharakati,,
 
Una haki ya kutoa mawazo yako na kusikilizwa kama raia wa nchi hii. Naona umefikia kikomo cha kufikiri.
Jamani Chadema wanatafuta haki, wanawafumbua macho watanzania, wana jaribu kurudisha tumaini lililo potea, alafu wewe unakurupuka nakuandika huu muwasho??... Plz give me a break, jipange.
 
Nimechunguza kila chama na nikagundua haya katika vyama hivi viwili:-
1. Chadema ni walalamikaji sanaaaa-CCM ni sakivu na wanajari kile wanacho lalamika.
2. Chadema kunamagamba mabichi - CCM kunamagamba yaliyooza
3. Chadema hawataki kusemwa - CCM ni wavumilivu wako tayari kusemwa na kujirekebisha.
4. Chadema sio wazalendo (Wakiudhiwa kidogo bungeni wanazira) - CCM hata ukiwaudhi watakusikiliza na kufikiri na kutoa jibu

5. CHADEMA wanadhani wao Tanzania ni yao - CCM wanachulia Tanzania ni ya watanzania.

Kunautofauti mkubwa sana katika vyama hivi viwili lakini watu wa CDM watakataa. Hebu jaribu kufikiria hata wewe

Unadhani bado unatumia akili kufikiri?
 
Unatafuta attention ya watu, jamii forum!

au unahisi upo FACEBOOK, hakuna picha hapa:angry:
 
Nimechunguza kila chama na nikagundua haya katika vyama hivi viwili:-
1. Chadema ni walalamikaji sanaaaa-CCM ni sakivu na wanajari kile wanacho lalamika.
2. Chadema kunamagamba mabichi - CCM kunamagamba yaliyooza
3. Chadema hawataki kusemwa - CCM ni wavumilivu wako tayari kusemwa na kujirekebisha.
4. Chadema sio wazalendo (Wakiudhiwa kidogo bungeni wanazira) - CCM hata ukiwaudhi watakusikiliza na kufikiri na kutoa jibu

5. CHADEMA wanadhani wao Tanzania ni yao - CCM wanachulia Tanzania ni ya watanzania.

Kunautofauti mkubwa sana katika vyama hivi viwili lakini watu wa CDM watakataa. Hebu jaribu kufikiria hata wewe

Sidhani kama wewe ni great thinker kwa hiki kinyesi ulichoandika, kabla huja post jitahidi kupitia ulichoandika.
 
Una haki ya kutoa mawazo yako na kusikilizwa kama raia wa nchi hii. Naona umefikia kikomo cha kufikiri.
Jamani Chadema wanatafuta haki, wanawafumbua macho watanzania, wana jaribu kurudisha tumaini lililo potea, alafu wewe unakurupuka nakuandika huu muwasho??... Plz give me a break, jipange.

Tatizo nyie washabiki wa vyama hamna data kamili jaribu kuproove kama mimi ni wrong kwa pointi sio kusema nijipange tena kwa kigezo kipi?
 
Nimechunguza kila chama na nikagundua haya katika vyama hivi viwili:-
1. Chadema ni walalamikaji sanaaaa-CCM ni sakivu na wanajari kile wanacho lalamika.
2. Chadema kunamagamba mabichi - CCM kunamagamba yaliyooza
3. Chadema hawataki kusemwa - CCM ni wavumilivu wako tayari kusemwa na kujirekebisha.
4. Chadema sio wazalendo (Wakiudhiwa kidogo bungeni wanazira) - CCM hata ukiwaudhi watakusikiliza na kufikiri na kutoa jibu

5. CHADEMA wanadhani wao Tanzania ni yao - CCM wanachulia Tanzania ni ya watanzania.

Kunautofauti mkubwa sana katika vyama hivi viwili lakini watu wa CDM watakataa. Hebu jaribu kufikiria hata wewe

Annael hayo maneno ni ya lugha gani? hayo mengine uliyoyataja ni pumba tupu. we nenda kachukue mshiko wako!

Halafu unapost thread nyingi sana hutaki kuchangia Jf.

"CHANGIA JF MKONO MTUPU HAULAMBWI"

zamani ulikuwa unabonya hapa ili upate maelezo ya jinsi ya kulipa:
[h=3]CHANGIA JF: Mkono mtupu haulambwi[/h]
Lakini siku hizi unalipa kwa M-Pesa kama vile unalipa bili ya Luku au Dawasco.
jinsi ya kulipa:

  1. Namba ya Jf (Namba ya kampuni) ni 888 888
  2. Jinsi ya Kutuma

    1. *150#
    2. Bonyeza 4 (Pay Bill)
    3. Bonyeza 1 (Enter Business Number)
    4. Weka 888888
    5. Enter Reference No. (Hapa andika jina lako la JF unalotaka liwekewe premium subscription
    6. Enter Amount (Weka kiasi unachotaka kutuma
    7. Weka password yako na kisha utume.

​UNAJAZA SANA SERVER HUTAKI KUCHANGIA WE NAMNA GANI MKUU?
 
Last edited by a moderator:
Annael hayo maneno ni ya lugha gani? hayo mengine uliyoyataja ni pumba tupu. we nenda kachukue mshiko wako!

Halafu unapost thread nyingi sana hutaki kuchangia Jf.

"CHANGIA JF MKONO MTUPU HAULAMBWI"

zamani ulikuwa unabonya hapa ili upate maelezo ya jinsi ya kulipa:
CHANGIA JF: Mkono mtupu haulambwi

Lakini siku hizi unalipa kwa M-Pesa kama vile unalipa bili ya Luku au Dawasco.
jinsi ya kulipa:

  1. Namba ya Jf (Namba ya kampuni) ni 888 888
  2. Jinsi ya Kutuma

    1. *150#
    2. Bonyeza 4 (Pay Bill)
    3. Bonyeza 1 (Enter Business Number)
    4. Weka 888888
    5. Enter Reference No. (Hapa andika jina lako la JF unalotaka liwekewe premium subscription
    6. Enter Amount (Weka kiasi unachotaka kutuma
    7. Weka password yako na kisha utume.

​UNAJAZA SANA SERVER HUTAKI KUCHANGIA WE NAMNA GANI MKUU?

Hivi unanijua mimi? au unasema tu? si kilakitu uchangie. Na kuna mambo yanayo nikera lazima tukae pamoja kama jamii tuyazungumze na mwisho wake maisha yaende mbele.
 
Hivi unanijua mimi? au unasema tu? si kilakitu uchangie. Na kuna
mambo yanayo nikera lazima tukae pamoja kama jamii tuyazungumze na mwisho wake maisha yaende mbele.

Sihitaji kukujua wewe kama wewe, nahitaji kukujua wewe kama member wa jf. na unapokuwa member unakuwa judged na rules za hapa.
unless kama hujapitia rules umekurupuka kujiunga.
vinginevyo niliyoyasema hapo juu yanahitaji ushirikiano wako that's all my br/sis

stand to be corrected!
 
Nadhani wewe umekosa cha kuandika ukaona ukurupuke kama ulivyo fanya kwa kuleta uchambuzi wa kizushi. Jipangeeeeeeeee,tena jipange sana.
Hatuto yumbishwa na maneno ya watu wepesi kama wewe

M4C itaendelea kusonga mbele na umeanza kuona matunda yake.
 
Umelaaniwa na aliyekulaani alifariki na kaburi lake limepotea! Vinginevyo ungeenda kuomba radhi kwa kulala juu ya kaburi hilo. Na ulaaniwe zaidi kwa vile wewe ni mshari!?
 
Nchi ni ya Watanzania ukiwamo wewe. Badala ya kukaa pembeni na kupima vyama kama timu za mpira, nakushauri nawe ushiriki maana mchango wako unahitajika.
Hao unaowakosoa ujue wamejitolea na wanajitolea kwa kiwango chao.
Mchango wako na ushiriki wako unahitajika kwa ajili ya vizazi vijavyo!!!!!
Usikae pembeni kama mtazamaji na mkosoaji tu !
 
Sihitaji kukujua wewe kama wewe, nahitaji kukujua wewe kama member wa jf. na unapokuwa member unakuwa judged na rules za hapa.
unless kama hujapitia rules umekurupuka kujiunga.
vinginevyo niliyoyasema hapo juu yanahitaji ushirikiano wako that's all my br/sis

stand to be corrected!

Basi hiyo ndio tofauti ya CCM na Chadema
 
Ofcoz hata mimi nimeliona hilo japo sio muumini wa ccm lakini Chadema kama chama hawapendi kusahihishwa hata wanapokosea, rejea kauli ya Mbunge Nassari.
 
Back
Top Bottom