Tofauti ya CHADEMA Arusha Mjini na CHADEMA Temeke

Tofauti ya CHADEMA Arusha Mjini na CHADEMA Temeke

mkuu umechanganya mada. sisi tunaongelea uongozi wa chadema kujaa wakirsto pekee kuanzia juu mpaka chini. na hoja hapa ni kuwa chadema haioneshi sura ya kitaifa kama ilivyo CUF. kwa staili hiyo ni ngumu sana kuiuza chadema kwenye maeneo yenye waislam wengi kama ilivyo CUF kwenye maeneo yenye wakristo wengi. ni rahisi hata kwa mpinzani kueneza propaganda za kidini na ikaingia kwenye vichwa vya watu kirahisi hata kama sio kweli. na hii ndo sababu ccm wataendelea kushinda kirahisi. kumbuka arusha ni kajimbo kamoja tu kati ya zaidi ya majimbo 250. au wewe umeridhika na ushindi wa arusha tu?
hebu changia tena, najua utakuwa umenisoma between the line. asante.

Funga mdomo wako, unasema arusha hajachaguliwa mwislam mutumbizi ni mkristo? Ukweli huwezi mlazimisha mtu kuwa kiongozi .au kwa sababu form zilitolewa kwa Tsh 150,000/= ndio mkashindwa kuchukua form? Au ndio mnataka kuendeleza upigaji kura kidini kama mlivyofanya 2010? Na bado tukawapiga nao kwa mbali. Batilda vs lema nipe matokeo yao. Najiuliza tuu siku serekali Ikikubali siku ya uchaguzi iwe jumatano hata muzime vipaza sauti misikitini na kuwaambia waislam wasichague makafiri tutashinda ushindi wa kishindo.
 
mkuu umechanganya mada. sisi tunaongelea uongozi wa chadema kujaa wakirsto pekee kuanzia juu mpaka chini. na hoja hapa ni kuwa chadema haioneshi sura ya kitaifa kama ilivyo CUF. kwa staili hiyo ni ngumu sana kuiuza chadema kwenye maeneo yenye waislam wengi kama ilivyo CUF kwenye maeneo yenye wakristo wengi. ni rahisi hata kwa mpinzani kueneza propaganda za kidini na ikaingia kwenye vichwa vya watu kirahisi hata kama sio kweli. na hii ndo sababu ccm wataendelea kushinda kirahisi. kumbuka arusha ni kajimbo kamoja tu kati ya zaidi ya majimbo 250. au wewe umeridhika na ushindi wa arusha tu?
hebu changia tena, najua utakuwa umenisoma between the line. asante.

Nilifurahishwa sana wakati mutumbizi anaomba kura, alisema: usinichague Mimi kwa sababu ya uislam wangu Bali nichague mimi kama mwanachadema mwenye sifa ya kuwaongoza.
 
wanatemeke wanamtaka YONA JOSEPH ndiwe awe kiongozi wao wanampenda na kumuamini kuwa ndiye tumaini lao kuwadhibiti mbowe na slaa wasipore ruzuku ya chama. yona anafaa sana amekataa kuwa msukule
 
Hivi yona si bado ametekwa? Kwani bado hajahamia act ? Yona alikuwa mojawapo ya viongozi walioteuliwa na sasa Inabidi wajaze form kuomba uongozi na Inabidi afanye kampeni kuomba kura kwa wajumbe. Labda ameogopa aibu ya kashindwa uchaguzi ndio maana hajagombea. CDM imekuwa sasa na wasaliti wanakimbia wenyewe kuogopa process za uchaguzi.
 
Good now tuko tayari kwa mapambano ya kumwhambulia jambazi alitutesa muda mrefu
 
Nilifurahishwa sana wakati mutumbizi anaomba kura, alisema: usinichague Mimi kwa sababu ya uislam wangu Bali nichague mimi kama mwanachadema mwenye sifa ya kuwaongoza.
alijijua kuwa hatakiwi humo ndo maana akaanza kujitetea. kuna mwengine alitesema usinichague kwa sababu ya ukirsto wake? fikiria.
 
Haifa lolote litajengwa na wenye moyo! Harakati zozote Pia huacha mumivu yanayoondoa udhalimu Wa watawala.
 
Ni vizuri wajumbe ambao ni wapiga kura kuhudhuria tuu. Kama arusha mjini tusingeweka TV nje kwa ajili ya wageni na jinsi walivyokuwa wengi kwa kweli tungeharibu. Kumbukeni pia kuna ushabiki wa wagombea.

Wananchi wana interest na viongozi wanaochaguliwa kuiongoza chadema lazima wafuatilie, Arusha walifanya vizuri sana kuweka Screen nje ili waweze kufuatilia.
 
Back
Top Bottom