UTANIPENDA
Member
- Feb 25, 2012
- 31
- 12
Nimeona uzi kuhusu uchaguzi wa chama wa jimbo la Arusha Mjini na Temeke Dar es salaam.
Nimeona utofauti ambao naona una maana kubwa. CHADEMA Temeke wametoa tangazo la uchaguzi kwa kulalamika kuwa maamluki wameendaliwa kuvuruga uchaguzi.
Arusha mjini wametoa tangazo kwa kusema karibuni wote na kuwa kutakuwa na vifaa maalumu vya kunasa na kupekua watu wote.
Hii ndio kujiamini kunakotakiwa.