Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 154
- 230
"Wakati ukifurahia Christmas , naomba nikupe Dozi ndogo hapa.
(Usipovifahamu vitu hivi utakosea sana na kufurahia ndoa kutakuwa msamiati kwako. Jifunze)
Mume anataka sex ili afeel penzi, ili afungue mlango wa kuonyesha penzi. Mke anataka kufeel kwanza, anataka kuonyeshwa penzi ili afungue kiu yake ya kutamani tendo la ndoa"
Tunaona utofauti hapa Mwanaume anataka tendo then ndio hisi penzi na kuonyesha penzi lenyewe kwa yule ampendae.
Yani kwa mwanaume akishashiriki tendo ndio anaona ndio wakati sahihi wa kumfanyia kila kitu mwenza wake.
(Sijui ni kwanini wanaume tunaamini ukishauona mwili wa mpenzi wako ndio anakupenda)
Mwanamke anataka kuhisi penzi (Anataka hisia zake zizame kweli kweli kwa yule ampendae) anataka kuonyeshwa penzi ndio apate kiu ya kutamani tendo la ndoa.
(Mwanamke anataka kufanyiwa kila kitu na ndio huamini hapa huyu ni mwenyewe, kuanzia hapo akili na mwili wake unakua tayari kwa tendo)
Mfano siku hii ya leo ya Christmas wanaume wengi wanafikiria kukutana kimwili na wapenzi wao, wakati huo wanawake wengi hufikiria kwenda sehemu kufurahi, kuletewa zawadi nk.
NOTE: Amini usiamini siku ya leo kwa kigezo cha kusex kuna mahuaniano yatavunjika.
Sasaivi simu au sms ni
"Unakuja saangapi? umefika wapi? uko wapi? Mbona hufiki tumekubaliana uje upike uku? nk"
HAPPY CHRISTMAS
@man_middotz