Wanawake wana mambo mengi ya kijinga wanayoyafutailia
Mwanamke ukimuliza hilo swali anaweza kukutajia kama 30 ivi
nyekundu
nyeusi
nyeupe
bluu
njano
machungwa
Hizi ndio sizichanganyi
Kijani je?
muda mwingine machungwa na njano zitakaa sehemu moja tu
nyekundu
nyeusi
nyeupe
bluu
njano
machungwa
Hizi ndio sizichanganyi
Wanawake wana mambo mengi ya kijinga wanayoyafutailia
Braza acha hizo....
Kijani je?
hazifanani hata
Na kijivu ongeza hapo
sista sio mimi
sawa kwani wewe ndio macho yangu ??
rangi nyingine mpaka nizione ndio nazikumbuka
Mwanamke ukimuliza hilo swali anaweza kukutajia kama 30 ivi
Kumbe ni nani?
Mmhh naomba zitaje