Tofauti na mwingilano wa ngo na kampuni-msaada tafadhali

Tofauti na mwingilano wa ngo na kampuni-msaada tafadhali

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
Naomba msaada wa namna ya kusajili:
Ukweli ni kuwa nataka kusajili chombo ambacho kimsingi nikutoa huduma ya elimu, kama kampuni. Lakini wakati huo huo niweze kupatamisaada kama ambavyo NGO zinasaidiwa. Naomba msaada wa je naweza kusajili kamaNGO, au kampuni, na je nini mipaka yake.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom